Recent posts
8 December 2023, 11:42 am
Makala: Kwanini hospitali ya jiji la Arusha haijakamilika?
Kwa mujibu wa ripoti ya ukaguzi wa ofisi ya Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG jengo hilo lilitengewa shilingi Bilioni 3.9 Na Joel Headman Msikilizaji ukisoma muundo wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa wa…
8 December 2023, 10:45 am
Hospitali ya jiji Arusha yakwama kukamilika licha ya kutengewa fedha
Shilingi bilioni 3.9 tayari zilitolewa na Serikali Kuu na kuifikia halmashauri ya jiji la Arusha miaka mitatu iliyopita lakini hadi mwaka 2023 bado jengo la wagonjwa wa nje kwenye hospitali ya jiji hilo haijakamilika. Na Joel Headman Wakazi wa jiji…
7 December 2023, 3:33 pm
Serikali yaruhusu sekta binafsi kuanzisha safari za treni reli ya mwendokasi
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa usafirishaji jijini Arusha. Picha na Anthony Masai “Sheria ya reli namba 17 imefanyiwa marekebisho ambapo kwa sasa inaruhusu uwekezaji wa sekta binafsi katika miundombinu ya reli“. Na Anthony…
7 December 2023, 2:20 pm
Mvua za juu ya wastani kunyesha ndani ya kipindi cha siku tano zijazo-TMA
Mkurugenzi wa Miundombinu na Huduma za ufundi wa ,Mamlaka ya hali ya hewa nchini Dokta Paskali Wanyiha,akielekeza jambo.Picha na Anthony Masai. Licha ya maeneo mengi ya nchi kuendelea kupata mvua za kiwango cha juu ya wastani na kusababisha mafuriko katika…
7 December 2023, 1:43 pm
Ndege kuruka saa 24 Arusha
Uwanja wa ndege wa Arusha ni uwanja unaoongoza kwa kupokea ndege nyingi kuliko viwanja vyote nchini Tanzania lakini hautumiki kwa saa 24 kwa sababu ya kukosa taa. Na.Anthony Masai Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuanza kuweka taa katika…
11 November 2021, 3:47 pm
Agenda ya usafi ni ya kudumu jijini Arusha-Meya
Na.Anthony Masai,Arusha. Baada ya kunyooshewa kidole cha malalamiko ya muda mrefu ya wananchi kuhusu huduma duni za ukusanyaji na uzoaji taka jijini Arusha,Meya wa jiji Maxmillian Iranqhe amefanya kikao kazi na mawakala wa usafi ili kutafuta ufumbuzi wa changamoto hizo.…
8 November 2021, 2:02 pm
WAMACHINGA WATII SHERIA BILA SHURUTI ARUSHA.
Na.Sunday Douglas,Arusha. Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga ambao walikuwa wamejenga vibanda juu ya madaraja, kandokando mwa barabara na maeneo mengine ambayo sio rasmi jijini Arusha,leo wameanza kuhama. Wamachinga hao wanahama kutokana na tangazo la Mkuu wa Mkoa Arusha, John Mongela…
8 November 2021, 12:50 pm
MAWAZIRI WATATU KUSHIRIKI MAADHIMISHO ARUSHA.
Na.Anthony Masai,Arusha Mkuu wa Mkoa Arusha, John Mongella amewataka wananchi wa Jiji hilo kutumia wiki ya kupambana na magonjwa yasioambukiza kwa kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya upimaji afya pamoja na kupata ushauri wa kitaalamu. Bwana Mongella amesema, maadhimisho hayo…