Storm FM
Storm FM
29 August 2026, 9:45 am
“Usalama barabarani ni jukumu la kila mmoja. Madereva wanapaswa kuzingatia sheria, kuepuka mwendo kasi, ulevi na matumizi ya simu wakati wa kuendesha, pamoja na kuhakikisha vyombo vyao vya usafiri viko katika hali nzuri kabla ya kuanza safari.”Kaimu Mkuu wa usalama…
27 August 2026, 9:17 am
Jeshi la Polisi wilaya ya Hai kitengo cha Polisi jamii limetoa elimu kuhusu kupinga uhalifu na matumizi ya madawa ya kulevya katika shule ya sekondari Lyamungo na katika jamii. Na Henry Keto Jeshi la Polisi Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,…
26 August 2026, 3:57 pm
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Hassan Bomboko, amesisitiza ushirikiano wa viongozi wa serikali, dini na jamii katika kuhamasisha wazazi na walezi kuwapeleka watoto walio chini ya miaka 10 kupata chanjo ya polio, huku zoezi hilo likitarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 27…
25 August 2026, 10:30
Uhaba wa watumishi katika Kituo cha afya ihongole unahatarisha usalama wa wagonjwa wanaofika kituoni hapo kupata huduma za afya. Na Fredrick Siwale Wananchi wa Kata ya Boma, Halmashauri ya Mji Mafinga, wameiomba Serikali kuongeza watumishi wa afya pamoja na wodi…
3 August 2026, 17:04
Chuo cha Maafisa Tabibu Kilosa kimefanya Mahafali ya 23 ambapo kimeendelea kudumisha ufaulu wa asilimia 100 kwa miaka mitano mfululizo licha ya kukabiliwa na changamoto za miundombinu na uhaba wa vifaa vya TEHAMA. Na Asha Madohola Wahitimu wa Chuo cha…
28 July 2026, 10:28
Serikali inaendelea kuwekeza katika kuboresha miundombinu ya afya ili kusogeza huduma bora karibu na wananchi na kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma nchini. Na Hafidh Ally Zaidi ya wananchi 17,000 wanatarajiwa kunufaika na ujenzi wa jengo la huduma za mama…
22 July 2026, 11:48
Kupambana na rushwa kunahitaji ushirikiano wa wananchi wote kwa kuzingatia uadilifu, uwajibikaji na kutoa taarifa kwa mamlaka husika pindi vitendo vya rushwa vinapobainika. Na Asha Madohola Jamii, hususan vijana wa Wilaya ya Kilosa, wamehimizwa kujiepusha na vitendo vya rushwa na…
11 July 2026, 4:43 pm
Viongozi wa Vijiji na mitaa wilaya ya Hai wameashwa kuwatambua watu wote wanaotoa tiba asili, kufuatia vifo vya watu wanne wa familia moja waliofariki kwa kudhaniwa wamekunywa dawa za asili. Na Oliver Joel Mwenyekiti wa Mji Mdogo Bomang’ombe, Julius Swai,…
3 July 2026, 09:11
Na Hafidh Ally Wananchi wa Kijiji cha Ndiwili, Kata ya Magulilwa wilayani Iringa, wanatarajia kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya, kufuatia ujenzi wa zahanati ya kijiji hicho kufikia hatua nzuri ya utekelezaji. Akikagua maendeleo ya…
17 June 2026, 08:52
Picha ni wamiliki wa day care pamoja na waratibu wa mradi wa Kinara Totocare. Wadau wa shirika la Kinara lililopo mkoani Morogoro wameendelea kuwaomba wamiliki wa shule za kulelea watoto wadogo (day care) kuendelea kusajili vituo vyao ili viweze kutambulika…