Radio Fadhila

CHANGAMOTO YA MIUNDO MBINU YA ELIMU KATIKA SHULE YA MSINGI NAMAJANI.

25 January 2023, 4:56 PM

Hali ya miundombinu ya elimu katika shule ya msingi namajani imekuwa ni changamoto kubwa mpaka sasa  shule ya msingi namajani inamadarasa manne tu, huku baadhi ya wanafunzi wakisoma  chini ya mti. Hayo yabainishwa na diwani wa kata ya namajani  Faraji Yahaya Wadi

Madarasa ya Shule ya msingi namajani
Hii ni ofisi inayotumiwa na walimu wa shule ya msingi namajani.
Ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi namajani ulipo fikia kwa sasa