Radio Fadhila

Kufuatia maadhimisho ya siku ya kuanzishwa kwa skauti Duniani

23 Febuari 2021, 4:55 mu

Kufuatia maadhimisho ya siku ya kuanzishwa kwa skauti Duniani, Wazazi na walezi wilayani Liwale Mkoani Lindi wameombwa kuwahamasisha watoto wao kujiunga na Chama Cha skauti kwani itasaidia kwa watoto hao kuwa wazalendo, wakakamavu, wabunifu na wanaoweza kujitegemea pindi wanapokumbana na Changamoto mbalimbali za kimazingira

.