Radio Fadhila

Biashara Ya Embe Kwa Watoto Wadogo (Wanafunzi Shule Ya Msingi)

21 Novemba 2020, 5:18 mu

TUPO KATIKA MSIMU WA EMBE -Hii ni makala inayoelezea biashara ya embe kwa wanafunzi wa shule za msingi wengi wao wamekuwa wakikosa masomo kwa ajili ya kufanya biashara hii ya uuzaji wa embe wangine wakidai kuwa hufanya hivyo kwa ajili ya kujipatia kipato na mahitaji ya kifamilia fatilia makala hii HOST -ASHA MSITAPHA