Mpanda FM
Mpanda FM
11 June 2026, 7:49 pm
Mradi wa terminal ya kisasa ya abiria wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 20 za Marekani unahusisha kuongeza kina cha bandari, kujaza maeneo maalum pamoja na ujenzi wa gati jipya lenye uwezo wa kuhudumia meli mbili kwa wakati mmoja.…
5 June 2026, 17:04
Viongozi wa dini wana wajibu wa kuendelea kuwahimiza vijana kuzingatia maadili mema. Na Kitana Hamis. Vijana wilayani Kiteto mkoani Manyara wameaswa kuacha kutegemea urithi kutoka kwa wazazi wao na badala yake kujikita katika kufanya kazi kwa bidii, kujiajiri pamoja na…
30 May 2026, 2:50 pm
‘‘Tulikuwa na uzinduzi wa albamu ya muziki ambayo ilikuwa inafanyika katika sehemu yangu ya biasahara tulimaliza usiku na tulirejea saa tisa usiku tukiwa na mke wangu na kukuta nyumba imechomwa moto” David Wanzagi Nyerere Na Amos Marwa Watu wasiojulikana wamevamia…
30 May 2026, 1:39 am
Tumelenga kuwajengea uwezo wananchi hususan wanawake na vijana juu ya usimamizi bora wa taka na matumizi yake katika shughuli za maendeleo. Na. Rehema Iddi Baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wamepatiwa mafunzo kuhusu namna ya kubadili taka…
24 May 2026, 11:45 pm
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) iliazishwa mwaka 2012 kwa kazi maalum ya kuleta maendeleo katika sekta ya kilimo nchini Tanzania. Na. Abdunuru Shafii Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inaendesha semina kwa wamiliki na wahariri wa redio…
13 May 2026, 19:53
Bodi ya Maji ya Bonde la Rufiji Kidakio cha Kilombero,imekiri kuwepo kwa shughuli zinazotishia mazingira ya vyanzo vya maji Na Katalina Liombechi Baadhi ya Vijana na wanawake Kata ya Lumemo katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wameelezea wasiwasi wao kuhusu hatma ya…
28 April 2026, 15:33
Serikali imeendelea kuboresha mazingira ya kilimo kwa kuweka mindombinu ya kisasa hususani katika kilimo cha umwagililiaji. Na Victor Chigwada. Vijana wametakiwa kujikita kwenye fursa mbalimbali ili kujiingizia kipato na kuacha kisingizio cha kukosa ajira . Wakiongea na taswira ya habari…
21 April 2026, 9:34 am
Zaidi ya wagonjwa 300 wamepata matibabu siku ya kwanza Na Devi Moses ZAIDI ya wagonjwa 300 wamepata matibabu siku ya kwanza ya kambi ya madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe. Kambi hiyo imefunguliwa rasmi April 20,…
14 April 2026, 11:16 am
Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mufindi wakipewa elimu kuhusu namna ya kushiriki katika soko la awali na la pili la uwekezaji wa dhamana za serikali za muda mrefu na mfupi, yaliyoratibiwa na Benki kuu ya Tanzania (BoT) Kanda ya…
23 March 2026, 16:11
Zaidi ya vijana 250 wa Jimbo Katoliki la Zanzibar wametembelea Hospitali ya Wilaya ya Mbuzini kutoa msaada na faraja kwa wagonjwa ikiwa ni sehemu ya mfungo wa kwaresima. Na Mary Julius. Katika kipindi cha mfungo wa kwaresima, vijana zaidi ya…