Recent posts
15 June 2022, 10:55 am
ZAECA PEMBA: YASEMA JAMBO KUHUSU ASKARI WA JKU WANAEMSHIKILIA.
NA MWANDISHI WETU, PEMBA:::- MAMLAKA ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar ‘ZAECA’ Pemba, imesema iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uchunguuzi, kabla ya kumfikisha mahakamani Askari wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar ‘JKU’ anayetuhumiwa kupokea rushwa, kwa…
9 December 2021, 10:55 am
Waziri Soud aona mbali sekta ya viungo Tanzania
NA ZUHURA JUMA, WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Soud Hassan Nahoda amesema, Tanzania ina nafasi kubwa ya kuendeleza sekta ya viungo ili kupanua wigo wa kufikia ubora wa soko la bidhaa hizo. Akizungumza katika Kongamano la kusaidia…
6 December 2021, 11:03 am
MWANASHERIA: Wazazi, Walimu, musiwe miongoni mwa wanaodhalilisha watoto
Na Mwiaba Kombo WAZAZI na walimu wameshauriwa kuwalinda watoto dhidi ya udhalilishaji na kuepuka kuwa miongoni mwa watendaji wa matendo hayo. Akizungumza na wanafunzi katika skuli ya Maandalizi Madungu Chake Chake, mwanasheria kutoka Kituo cha Huduma za Sheria (ZLSC) Pemba…
12 November 2021, 5:58 am
Waandishi acheni woga ibuweni habari za rushwa(Zaeca)
Na Mwiaba Kombo MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar ‘ZAECA’ ACP, Ahmed Khamis Makarani, amewataka waandishi kuacha woga na kuandika habari za wala rushwa na watoaji, kwani hiyo ndio sehemu ya uwajibikaji. Amesema, uwajibikaji…
25 October 2021, 6:52 am
Mganga Pemba aliyembaka mke, ili amtoe mume wake rumande afungwa miaka 30
Na Mwiaba Kombo. MAHAKAMA ya Mkoa Chake Chake, imemuhukumu mganga wa kienyeji kwenda kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 30 na kumlipa muathiriwa fidia ya shilingi milioni 1, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mke wa rafiki…
21 October 2021, 12:15 pm
Wadau wa vyama vya siasa watakiwa kutambua umuhimu wa daftari la kudumu
Na Said Abdalla: Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar Jaji mkuu mstaafu Hamid Mahmoud Hamid amesema ni utamaduni uliojengwa na tume ya uchaguzi wa kukutana na wadau wake kila inapotokea jambo linalohusu uchaguzi. Ameyasema hayo kwenye mkutano wa wadau wa…
6 October 2021, 11:34 am
PEGAO yataja mwarubaini wanawake kushika hatamu
Na Zuhura Juma. WANANCHI wametakiwa kushirikiana pamoja katika kuwainua wanawake, ili kuhakikisha wanakuwa viongozi kuanzia ngazi ya jamii hadi Taifa. Akizungumza na wananchi wa shehia ya Tumbe Magharibi, Mkurugenzi wa Jumuiya ya PEGAO Pemba Hafidh Abdi Said amesema, wanawake wanao…
5 October 2021, 2:34 pm
TAMWA ZNZ yasaidia utatuzi wa uharibifu wa Mazao ya Wajasiriamali Pemba
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar- TAMWA-ZNZ leo octoba 05,2021 kimekabidhi Waya wa uzio kwaajili ya kuweka kwenye shamba la wajasiriamali linalomilikiwa na kikundi cha TUSIFE MOYO kilichopo Shehia ya Kangagani, Wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba…
4 October 2021, 10:33 am
MWENYEKITI wa Baraza la Vijana wilaya ya kati afanya ziara Wilaya ya Micheweni
Na Said Abdalla: MWENYEKITI wa Baraza la Vijana Wilaya ya kati Unguja Omar Khamis Omar amefanya ziara katika wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kutembelea miradi mbalimbali ya wilaya hiyo. Wakati wa ziara…
1 October 2021, 9:17 am
Wakulima 50 Pemba wanufaika na vifaa kupitia mradi wa VIUNGO
Na Gaspary Charles JUMLA ya wakulima hamsini wa bustani za nyumbani Kisiwani Pemba katika kipindi cha mwaka wa kwanza wa utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda wamewezeshwa vifaa vya kilimo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi huo unaolenga…