Recent posts
5 September 2023, 1:00 pm
Wanawake Micheweni walia kutelekezwa na waume zao.
Wanawake na watoto wamekuwa ni wahanga wakubwa kwenye suala zima la utelekezaji hivo ipo haja kuhakikisha kuwa tunashirikiana kwa kina kuhakikisha tunaondoa tatizo hilo ambalo linapigiwa kelele siku hadi siku katika jamii zetu Na Mwiaba Kombo
30 August 2023, 7:54 am
Wanahabari Pemba watakiwa kuandika habari za uchunguzi kuhusu GBV
Udhalilishaji ni vitendo ambavyo vinapigiwa kelele siku hadi siku katika maeneo mbalimbali nchini, hivyo ni vyema kuhakikisha tunashirikiana kwa pamoja kutokomeza suala hili ambalo limekuwa likirejesha nyuma maendeleo. Na Mwiaba Kombo Afisa mkuu wa mawasiliano na uchochemuzi kutoka Chama cha…
24 August 2023, 7:29 am
Maafisa kilimo Zanzibar wapewa rai
Mradi wa viungo ni mradi ambao umekuja kwa lengo la kumkomboa mwananchi kiuchumi kuondokana na hali ngumu ya maisha. Na Mwiaba Kombo Maafisa kilimo wameshauriwa kutoa taarifa kamili kuhusu udongo bora wenye kukidhi viwango kwa lengo la kuzalisha mazao bora…
15 August 2023, 10:15 am
Wananchi wa Kokota waililia jumuiya ya wasaidizi wa sheria wilaya Wete
Na Mwiaba Kombo. Wananchi wa shehia ya Mtambwe kijiji cha Kokota wilaya ya Wete mkoa wa kaskazini Pemba wamewataka wasaidizi wa sheria katika wilaya hiyo kuwasaidia upatikanaji wa huduma za kijamii katika shehia hiyo. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi…
13 August 2023, 2:13 pm
Wakulima, wafugaji Kojani wanyoosheana vidole
Baada ya migogoro ya muda mrefu kati ya wakulima na wafugaji katika shehia ya Kojani bado suala hili limekuwa kizungumkuti kutokana na kukosekana kwa ufumbuzi wa tatizo hilo. Na Mwiaba Kombo Wakulima shehia ya Kojani Wilaya ndogo ya Kojani mkoa…
8 August 2023, 11:51 am
Mkaguzi wa polisi jamii amwaga vifaa kwa wanafunzi wanaojitayarisha na mitihani
Wanafunzi wa skuli za Pandani msingi na sekondari wakipokea vifaa ambavyo vitawasaidia kwa ajili ya kujisome baada Na Essau Kalukubila Wanafunzi wa skuli ya msingi na sekondari Pandani pamoja na sekondari Wete ambao wanajitayarisha na mitihani yao ya taifa, wamepatiwa…
8 August 2023, 9:31 am
Kipindi: Mafanikio ya serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar
7 August 2023, 11:28 am
Wanawake Mleteni wakumbushia ahadi ujenzi kituo cha afya
Baada ya Rais Hussein Mwinyi kutoa ahadi ya kituo cha afya Mleteni wilayani Wete wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 wananchi wameikumbusha serikali ujenzi wa kituo hicho. Na Mwiaba Kombo Wanawake wa kijiji cha Mleteni shehia ya Kisiwani…
24 June 2022, 7:22 am
BARAZA LA HABARI TANZANIA (MCT) LAWAPIGA MSASA WAANDISHI WA HABARI PEMBA KUHUSU…
NA MWIABA KOMBO. WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kusoma na kuzielewa sheria zote, ili kufanya kazi ya habari kwa ufanisi na bila vikwazo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Khatib Juma Mjaja wakati alipokuwa akifungua mafunzo ya siku…
15 June 2022, 11:07 am
ALIYEMLAWITI MTOTO WA MIAKA 15, AFUNGWA MIAKA 20 PEMBA
NA MWIABA KOMBO. MAHAKAMA ya Mkoa Wete imemuhukumu kijana Ali Sharif Ali miaka 19 mkaazi wa Pandani, kwenda kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 20 na kulipa fidia ya shilingi 100,000 baada ya kupatikana na hatia ya…