Micheweni FM

Recent posts

7 August 2023, 11:28 am

Wanawake Mleteni wakumbushia ahadi ujenzi kituo cha afya

Baada ya Rais Hussein Mwinyi kutoa ahadi ya kituo cha afya Mleteni wilayani Wete wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 wananchi wameikumbusha serikali ujenzi wa kituo hicho. Na Mwiaba Kombo Wanawake wa kijiji cha Mleteni shehia ya Kisiwani…

15 June 2022, 11:07 am

ALIYEMLAWITI MTOTO WA MIAKA 15, AFUNGWA MIAKA 20 PEMBA

NA MWIABA KOMBO.   MAHAKAMA ya Mkoa Wete imemuhukumu kijana Ali Sharif Ali miaka 19 mkaazi wa Pandani, kwenda kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 20 na kulipa fidia ya shilingi 100,000 baada ya kupatikana na hatia ya…

15 June 2022, 10:55 am

ZAECA PEMBA: YASEMA JAMBO KUHUSU ASKARI WA JKU WANAEMSHIKILIA.

NA MWANDISHI WETU, PEMBA:::- MAMLAKA ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar ‘ZAECA’ Pemba, imesema iko katika hatua za mwisho za kukamilisha uchunguuzi, kabla ya kumfikisha mahakamani Askari wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar ‘JKU’ anayetuhumiwa kupokea rushwa, kwa…

9 December 2021, 10:55 am

Waziri Soud aona mbali sekta ya viungo Tanzania

NA ZUHURA JUMA, WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Soud Hassan Nahoda amesema, Tanzania ina nafasi kubwa ya kuendeleza sekta ya viungo ili kupanua wigo wa kufikia ubora wa soko la bidhaa hizo. Akizungumza katika Kongamano la kusaidia…

6 December 2021, 11:03 am

MWANASHERIA: Wazazi, Walimu, musiwe miongoni mwa wanaodhalilisha watoto

Na Mwiaba Kombo WAZAZI na walimu wameshauriwa kuwalinda watoto dhidi ya udhalilishaji na kuepuka kuwa miongoni mwa watendaji wa matendo hayo. Akizungumza na wanafunzi katika skuli ya Maandalizi Madungu Chake Chake, mwanasheria kutoka Kituo cha Huduma za Sheria (ZLSC) Pemba…

12 November 2021, 5:58 am

Waandishi acheni woga ibuweni habari za rushwa(Zaeca)

Na Mwiaba Kombo MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar ‘ZAECA’ ACP, Ahmed Khamis Makarani, amewataka waandishi kuacha woga na kuandika habari za wala rushwa na watoaji, kwani hiyo ndio sehemu ya uwajibikaji. Amesema, uwajibikaji…