Micheweni FM

Recent posts

24 November 2023, 9:46 am

IGP Ussi awataka Wete kutochimba vyoo, karo kwenye vyanzo vya maji

Choo ni moja kati ya jambo muhimu katika nyumba hivo ni muhimu kuhakiksha kila mwanajamii amechimba choo katika nyumba yake lakini licha ya umuhimu wake ni lazima kuhakiksha huchimbi choo hicho karibu na vianzio vya maji kwani vinaweza kusababisha madhara…

23 November 2023, 4:47 pm

Wadau wa afya wakumbushwa kufikisha elimu ya afya sahihi kwa jamii

Na Mwiaba Kombo Wadau wa afya kisiwani Pemba wametakiwa kufikisha taarifa sahihi Kwa jamii kuhusiana na maradhi ya mripuko kutokana na mvua ambazo zinazoendelea kunyesha. Ushauri huo umetolewa na Afisa mdhamin wizara ya Afya Pemba Khamis Bilali Ali wakati alipokuwa…

3 November 2023, 7:48 pm

Tamwa Pemba yawapiga msasa wanahabari juu ya kuripoti habari za udhalilisha

Udhalilishaji ni kumfanyia mtu kitendo chochote kile kitakachomuathiri utu wake na heshima yake na kikamuathiri kimwili na kisaikolojia. Na Mwiaba Kombo Waandishi wa habari kisiwani Pemba wametakiwa kutumia kalamu zao na kupaza sauti zao kwa lengo la ukuweza kwatetea waathirika…

27 October 2023, 9:02 am

UWT Taifa wampa kongole mwakilishi Zawad wa Konde

Umoja wa wanawake Tanzania UWT taifa umeandaa utaratibu wakutembelea miradi mbali mbali ambayo inafanywa na Serikali ya Tanzania pamoja na ya Zanzibar lengo likiwa ni utekeleaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 ya CCM kwa wananchi juu ya kuwapelekea…

18 October 2023, 11:19 am

PEGAO, TAMWA watoa neno kuhusu vyeti bandia

Tatizo la upatikanaji wa vitambulisho pamoja na vyeti bandi (feki) limekuwa ni tatizo sugu ambalo kwa sasa katika visiwa vya Zanzibar ni jambo la kawaida licha ya serikali pamoja na wadau wengine kupiga kelele siku hadi siku kuhusu kupatikana kwa…

13 October 2023, 2:55 pm

PACSO yawapiga msasa wadau juu ya kuilinda haki za bindamu

Binadamu yeyote duniani ana haki ya kupata kile ambacho anastahili kupata bila ya kuwepo na ubaguzi wowote haijalishi ni mlemavu au sio mlevu , bila kujali ukabila wake ,dini yake ama rangi yake Na Mwiaba Kombo Wadau wa haki za…