

2 December 2024, 4:40 pm
Kumekuwa na dhana potofu kuwa mwanamke hawezi kuwa kiongozi mzuri katika jamii kwenye vyama vya siasa na hata serikalini, jambo ambalo ni tofauti na uhalisia.
Na Time Khamis Mwinyi
Karibu usikilize kipindi kinachoelezea kwa kina namna mwanamke anavyopambana na changamoto katika nafasi za uongozi.