Micheweni FM
Mitazamo ya jamii kwa waandishi wa habari wanawake
2 December 2024, 3:47 pm
Mwanahabari ni mtu yeyote yule ambae nafanya kazi ya uandishi wa habari kwa kukusanya,kutayarisha na kusambaza taarifa aidha anaweza kufanya kazi hiyo akiwa ameajiriwa ikiwa ni gazeti redio au kituo cha televisheni au wa kujitegemea akiuza kazi zake kama vile Makala picha au hata filamu.
Na Kuluthumi Ramadhani
Ukiwa mwandishi wa habari wa redio huandika nakala za habari ,katika maaandalizi ya Makala ataongea na watu mbali mbali kufuatia habari kwa ujumla kwa kufanya utafiti na mahojiano na watu wanaohusika katika habari anayoandaa
Kipi kinaelezea mitazamo tofauti katika jamii juu ya waandishi wa habari wanawake