Micheweni FM

Wanahabari waaswa kuhamasisha wanawake kushiriki katika michezo

25 November 2024, 10:41 am

Waandishi wa habari kisiwani pemba wakipewa mafunzo kuhusu wanawake kushiriki katika michezo

Mwanahabari ni mtu yeyote yule ambae nafanya kazi ya uandishi wa habari kwa kukusanya,kutayarisha na kusambaza taarifa aidha anaweza kufanya kazi hiyo akiwa ameajiriwa ikiwa ni gazeti redio au kituo cha televisheni  au wa kujitegemea akiuza kazi zake kama vile Makala picha au hata filamu .Wanahabari huajiriwa na makampuni taasisi au ofisi za serikali zinazolenga kueleza kazi zao katika jamii.

Na Mwiaba Kombo

Mwanahabari ni mtu yeyote yule ambae nafanya kazi ya uandishi wa habari kwa kukusanya,kutayarisha na kusambaza taarifa aidha anaweza kufanya kazi hiyo akiwa ameajiriwa ikiwa ni gazeti redio au kituo cha televisheni  au wa kujitegemea akiuza kazi zake kama vile Makala picha au hata filamu .Wanahabari huajiriwa na makampuni taasisi au ofisi za serikali zinazolenga kueleza kazi zao katika jamii. Akiwa mwandishi wa habari wa redio huandika nakala za habari ,katika maaandalizi ya Makala ataongea na watu mbali mbali kufuatia habari kwa ujumla kwa kufanya utafiti na mahojiano na watu wanaohusika katika habari anayoandaa

kipindi ambacho kinazungumzia nafasi ya waandishi wa habari katika kuhamasisha wanawake kushiriki katika michezo.