Mazingira FM
Mazingira FM
11 September 2026, 11:46
Mwenge wa uhuru umeendelea kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Mkoa wa Kigoma huku ukisisitiza miradi hiyo kutunzwa Na Hagai Ruyagila Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake leo Septemba 11, 2026 katika Wilaya ya…
9 September 2026, 15:48
Uboreshaji wa miundombinu ya elimu inasaidia wanafunzi kupata mazingira rafiki ya kujinzia Na Hagai Ruyagila Mwenge wa uhuru 2026 umezindua na kukagua mradi wa ujenzi wa bwalo la chakula pamoja na majiko banifu katika Shule ya Sekondari Makere, Halmashauri ya…
9 September 2026, 11:43
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2026 Wazo Mwang’onda amesema dhamira ya serikali ni kuhakikisha inaboresha miundombinu ya kutolea huduma muhimu kwa wananchi Na Hagai Ruyagila Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2026 umeanza mbio zake katika Wilaya ya…
2 September 2026, 13:14
Mwenge wa Uhuru ni miongoni mwa alama muhimu za kitaifa, ambazo hutumika kuhamasisha wananchi kuhusu masuala ya maendeleo, amani, umoja, uzalendo na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali…
5 August 2026, 20:59
Wazazi wa toto huyu wameonesha mfano wa ushirikiano mkubwa sana kwetu, na hii inaonyesha kwamba jamii tukishirikiana na wataalamu wa afya basi tunaweza kupata matokeo naiomba jamii iiamini hospitali yao kwa sasa ina uwezo wa kufanya mambo kama haya. Amesema…
23 July 2026, 18:16
Benki ya CRDB imekabidhi vitanda 33 vya wagonjwa na makabati 26 vyenye thamani ya shilingi milioni 25 kwa Hospitali ya Saratani ya Good Samaritan Ifakara, ili kuboresha huduma za matibabu kwa wagonjwa. Na: Hospice Lipipa Benki ya CRDB imekabidhi vitanda…
20 June 2026, 15:06
Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) imekabidhi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar gawio la zaidi ya shilingi bilioni 15.3, ikiwa ni ongezeko la asilimia 53 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Juma Malik Akil, amepongeza mafanikio…
29 May 2026, 10:36
Maziwa ni chakula muhimu na kamili kwa watu wa rika zote kutokana na kuwa na makundi yote ya virutubishi muhimu kwa mwili wa binadamu. Na Hafidh Ally WAANDISHI wa habari mkoani Iringa wamepatiwa elimu kuhusu matumizi ya maziwa bora na…
15 May 2026, 1:19 pm
Mkama alieleza kuwa anatambua kazi ya ukunga na uuguzi ni wito wa kujitolea unaoendelea kuwa msaada mkubwa kwa jamii, huku akipongeza ufanisi mkubwa wa kazi hiyo kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia duniani. Na Adelinus Banenwa Hospitali ya Wilaya…
11 May 2026, 12:27
“Kuanzishwa kwa wodi maalumu ya uangalizi wa watoto wachanga na watoto njiti (NIKU) katika Hospitali ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, umeongeza upatikanaji wa huduma za karibu na kwa wakati kwa watoto wanaohitaji uangalizi maalumu” Na Saa Zumo Hospitali ya…