Recent posts
18 August 2024, 8:59 pm
NCAA: Shughuli za utalii zinaendelea Ngorongoro pamoja na uwepo wa maandamano
Idadi kubwa ya wananchi wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro wameandamana hii leo Agosti 18,2024 wakishinikiza serikali iwasikilize na kutatua kero zao mbalimbali zinazowakabili. Na mwandishi wetu. Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kuwa shughuli za utalii bado zinaendelea katika…
10 August 2024, 4:35 am
Mabeyo aagiza maboresho magofu ya Engaruka
Magofu ya Engaruka ni moja ya maeneo yenye historia kubwa sana Tanzania miaka 500 hivi iliyopita, jamii ya wakulima ilitumia mfumo wa hali ya juu wa kilimo cha umwagiliaji katika eneo hilo. Na Mwandishi wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi…
1 August 2024, 3:44 pm
Kikao kamati ya lishe,wajane waondolewa kwenye nyumba yao Sale
Lishe ni kiasi na aina ya chakula unachokula kulingana na mahitaji ya mwili wako na lishe bora inamaanisha kuwa kiasi sahihi cha virutubishi vya mwili huliwa baadhi ya watu ula chakula kujaza matumbo na si kuzingatia lishe bora kwa mujibu…
29 July 2024, 10:44 am
PWC watembelea boma la mifugo inayomilikiwa na wanawake
PWC wamekuwa na mchango mkubwa katika jamii za kifugaji hususan kwenye masuala ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto, kuwawezesha wanawake kiuchumi na miradi mingine mingi ya kimaendeleo. Na Mwandishi wetu. Shirika la PWC wakiongozana na viongozi wa mila…
26 July 2024, 9:39 am
UNESCO Ngorongoro watembelea wairaq, wahadzabe na wadatoga
UNESCO ni shirika la elimu, sayansi na utamaduni la umoja wa mataifa kati ya shughuli muhimu za UNESCO mojawapo ni kutunza na kulinda urithi wa dunia na mahali penye umuhimu wa pekee kihistoria, kisayansi au kiutamaduni.Na mwandishi wetu. Ujumbe wa UNESCO umehitimisha…
18 July 2024, 10:17 am
PALISEP yazindua mradi, kuwafikia wananchi 15,000 Ngorongoro
Mashirika mengi yasiyo ya kiserikali wilayani Ngorongoro yamekuwa yakitekeleza miradi mingi yenye manufaa kwa jamii za kifugaji ikiwepo maswala ya uhifadhi, mabadiliko ya tabia ya nchi na mingine mingi. Na Edward Shao. Shirika lisilo la kiserikali PALISEP limezindua mradi wa…
9 July 2024, 8:46 am
Mimutie yaibua mapya kesi ya ulawiti mbele ya Makonda Ngorongoro
Matukio ya ukatili kwa mkoa wa Arusha yameendelea kushika kasi huku wadau wa kupambana na maswala hayo ya ukatili wakijitolea kutafuta haki kwa wahanga lakini imeonekana kukosa ushirikiano baina yao pamoja na vyombo mbalimbali vya kutoa msaada wa kisheria hali…
9 July 2024, 12:15 am
Ujenzi wa nyumba Msomera wafikia asilimia zaidi ya 90
Katika juhudi za kuendelea kuboresha mazingira na kujenga nyumba za kutosha katika kijiji cha Msomera ili kuwezesha wananchi watakao hama kwa hiari kutoka hifadhi ya Ngorongoro wanapata sehemu nzuri yakuishi pamoja na mifugo yao sasa ujenzi wa nyumba umekamilika ni…
8 July 2024, 11:10 pm
Balozi Msumbiji akoshwa na banda la Ngorongoro sabasaba
Maonesho ya biashara yanayojulikana kama sabasaba yalianza mwaka 1962 yakiwa ni maonesho ya kilimo yaliyokuwa yakifanyika katika viwanja vya Wizara ya biashara miaka ya hivi karibuni maonesho hayo yamekuwa yakishirikisha nchi takribani 20 kutoka kusini mwa Afrika (SADC) vilevile yamejulikana…
3 July 2024, 7:54 pm
Mtumishi wa afya akamatwa akiuza dawa na vifaa tiba mnadani Ngorongoro
Serikali imekuwa mstari wa mbele kwa kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma bora za afya kwa kununua vifaa tiba na dawa kwa fedha nyingi lakini baadhi ya watumishi wa afya wameshindwa kuzingatia maadili ya utendaji wao wa kazi kwa kiviuza kwa…