Loliondo FM
Loliondo FM
16 May 2025, 4:35 pm
Viongozi na watendaji mbalimbali wa kiserikali hapa nchini wamekuwa wakitoa matamko ya kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo wanayoataja wao yameletwa nae. Na Zacharia James Baraza la madiwani halmashauri Ngorongoro limepitisha azimio…
12 May 2025, 2:36 pm
Jamii za kifugaji zimekuwa haziwapi nafasi wanawake ya kuwa viongozi kutokana na mfumo dume. Wengi wa wanajamii kutoka ndani ya jamii hiyo wakiwa na imani kwamba mwanamke hawezi kuongoza wanaume. Na Saitoti Saringe
29 April 2025, 8:24 pm
Katika hatua ya kuimarisha maendeleo na huduma kwa jamii, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Mheshimiwa Mohammed Bayo amefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika eneo hilo. Ziara hiyo ililenga kutathmini maendeleo ya miradi inayotekelezwa na halmashauri…
22 April 2025, 11:47 pm
Upara ni hali ya kutokuwa na nywele au ukosefu wa nywele mahali ambapo mara nyingi hukua, hasa kichwani aina ya upara ya kawaida zaidi ni upungufu wa nywele unaowatokea hatua kwa hatua binadamu wanaume. Na mwandishi wetu. Taasisi ya utafiti wa wnyamapori Tanzania (TAWIRI) imetangaza…
13 April 2025, 11:01 pm
Katiba ya ARFA inaeleza kwamba mtu yeyote asipofanya kazi ya mpira ndani ya mwaka mmoja na hata wale ambao hawata chezesha Ligi za U-20 watakuwa wamepoteza sifa za kuwa wanachama. Na Edward Shao. Mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu…
18 March 2025, 9:38 pm
Katika kuhakikisha utendaji kazi Kwa viongozi wa serikali za mitaa wilayani Ngorongoro unakuwa na tija kwa wananchi, wizara ya katiba na sheria imewapatia viongozi hao mafunzo Kwa lengo la kuongeza ufanisi katika majukumu yao. Na Saitoti Saringe Wizara ya katiba…
12 March 2025, 8:52 pm
Ikiwa zimepita siku chache tangu tume huru ya taifa ya uchaguzi kutoa taarifa kwa umma juu ya mchakato wa kupokea mapendekezo ya kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi, wadau mbalimbali wamejitokeza kutoa maoni yao. Na Saringe Saitoti Akizungumza…
20 December 2024, 8:49 am
Katika kuhakikisha kunakuwa na ufanisi katika kuleta maendeleo kwa wananchi wa kata hiyo viongozi walioshinda uchaguzi katika uchaguzi wa serikali za mitaa iliyopita viongozi hao wamekutana pamoja kujengewa uwezo wa namna ya kutekeleza majukumu yao. Na Saitoti Saringe Akizungumza na wenyeviti…
6 December 2024, 3:41 pm
Katika kuhakikisha utekelezaji wa mpango wa Serikali wa kutoa asilimia kumi ya mapato ya ndani ya halmashauri kwa makundi maalum halmashauri ya Ngorongoro imekabithi kwa vikundi hivyo mikopo hiyo kwa lengo ya kujikwamua kiuchumu. Na mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya…
4 December 2024, 4:11 pm
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Arusha na Kilimanjaro utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 11 hadi 17 Desemba, 2024. Na Saitoti Saringe Afisa Mwandikishaji Jimbo la Ngorongoro Ndg. Emmanuel Mhando leo tarehe 4 Disemba, 2024 amewakaribisha…
Loliondo FM Community Radio was born on april 2011 headquartered in Waso/Loiondo Township council, Ngorongoro DC, Arusha region, Tanzania United Republic. The organization partnered with different development partners in implementing projects to achieve its objectives. Loliondo FM gets more support from UNESCO, Airtel Tanzania, Insight share and previously Oxfam Tanzania. Other partners include Ngorongoro DC, Radio Tadio, local and international NGOs, Investors, individuals and more importantly the community in general
Lolindo FM Radio strives to raise voice of the pastoral communities, farmers and traders in Ngorongoro district and other coverage geographical areas including Longido District, Serengeti, Tarime in Tanzania and Narok and Kajiado County in Kenya. Loliondo FM target the following groups in its areas of focus; pastoralist communities, farmers, trader’, youth, women, and older children and people with disabilities
Loliondo FM Radio mission is to Building inclusive knowledge Community through information and communication. Loliondo FM works to create the conditions for discourse among policymakers, community, investors, conservators and peoples, based upon respect for commonly shared values. It is through this dialogue, information sharing that the community can achieve global visions of sustainable development surrounding observance of human rights, mutual respect and the alleviation of poverty. The organization focuses on areas such as climate change, education, health care, gender and cultural survival, sustainable livelihood, and human rights
Loliondo FM radio focuses on a set of objectives in the National priority areas