Loliondo FM

Mwanamke na uongozi katika jamii za kifugaji

12 May 2025, 2:36 pm

Picha ikionyesha baadhi ya wanawake wakiwa katika mkutano wa hadhara (Picha na Saitoti Saringe)

Jamii za kifugaji zimekuwa haziwapi nafasi wanawake ya kuwa viongozi kutokana na mfumo dume. Wengi wa wanajamii kutoka ndani ya jamii hiyo wakiwa na imani kwamba mwanamke hawezi kuongoza wanaume.

Na Saitoti Saringe