Loliondo FM
107.7 MHz
Waso, Loliondo, Ngorongoro, Arusha, Tanzania
0682226660
loliondofmradio2011@gmail.com
107.7 MHz
Waso, Loliondo, Ngorongoro, Arusha, Tanzania
0682226660
loliondofmradio2011@gmail.com
5 November 2024, 11:29 am
Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania ni miongoni mwa wadau muhimu wa kutetea haki za binadamu hapa nchini sambamba na hilo wamekuwa wakishiriki kwenye shughuli zingine za kijamii ikiwepo kutoa misaada mbalimbali ya huduma muhimu za kijamii katika…
19 October 2024, 12:42 pm
Wilaya ya Ngorongoro inaunguna na wilaya zingine nchi nzima katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa huku idadi ya wananchi waliojitokeza kuandikishwa hadi hivi Sasa ikiwa na ya kuridhisha. Na mwandishi wetu. Mwenyekiti wa…
16 October 2024, 11:30 pm
Waziri wa maliasili na utalii mh balozi dkt Pindi Chana amekuwa akifanya vikao mara kwa mara na mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kwa lengo la kujenga mahusiano mazuri baina ya wizara, NCCA na wananchi waishio pembezoni wa hifadhi ya…
13 October 2024, 12:54 pm
Na Mwandishi Wetu. Zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa limeanza rasmi Oktoba 11,2024 na bado zoezi hili linaendelea katika maeneoa mbalimbali kwa wilaya ya Ngorongoro. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Ngorongoro Murtallah…
6 October 2024, 5:38 am
Kumekuwepo na viongozi wa mikoa au wilaya kutoa maelekezo ya kuwahamisha wafugaji katika maeneo yao ambayo ni malisho ya mifugo yao kwa kisingizio cha kufuata maelekezo ya mh rais. Na mwandishi wetu . Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala…
27 September 2024, 12:02 pm
Ni katika hatua za kuendelea kuhakikisha kuwa kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kushirikiana na viongozi wa wilaya, viongozi wa serikali, siasa na viongozi wa kimila wanashirikiana na kuwa na mahusiano mazuri kwa lengo la uhifadhi endelevu pamoja na…
24 September 2024, 5:03 pm
Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ni miongoni mwa halmashauri baadhi ya vijiji na vitongoji vilikuwa vimefutwa na kutangazwa kutoshoriki uchaguzi wa serikali za mitaa hata hivyo hivi karibuni waziri wa TAMISEMI mh Mohamed Mchengerwa ametangaza kuvirejesha tena na maandilizi yanaendelea…
16 September 2024, 3:36 pm
Baada ya kuwa na hofu na wasiwasi kwa wananchi wa baadhi ya vijiji, mitaa na vitongoji kutoshoriki uchaguzi ikiwepo wilaya ya Ngorongoro sasa watapata nafasi ya kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwaka huu. Na mwandishi wetu. Serikali kupitia…
16 September 2024, 10:56 am
Katika kuhakikisha inaendelea kuboresha huduma za kijamii taasisi ya NGOLAC imeendelea kukutana na wadau mbalimbali ili kuimarisha utoaji wa huduma kwa jamii kwa kushirikiana na wadau hao. Na Saitoti Saringe Akizungumza Septemba 15/2024 katika ofisi za NGOLAC zilizopo ofisi za…
15 September 2024, 5:54 pm
Wafugaji wameendelea kupata neema ya kuboresha aina za mifugo yao na kufuga kisasa kupitia jitihada mbalimbali za serikali za kuboresha sekta ya mifugo katika Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Na mwandishi wetu. Wizara ya Mifugo na Uvuvi imedhamiria kununua madume…