Dodoma FM
Dodoma FM
3 January 2024, 10:27 am
Vijiji vitano vya kata ya Bukondo mkoani Geita havina huduma za maji huku zahanati ya Bukondo inayohudumia vijiji vitano katika kata hiyo ikiwa na watumishi wawili tu. Na Zubeda Handrish- Geita Wananchi wa kata ya Bukondo mkoani Geita wamemweleza changamoto…
16 December 2023, 12:01 pm
Wadau wa maji na Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya maji ili kuweza kukabiliana na ukame unaosababishwa na shughuli za kijamii pamoja na mabadiliko ya tabia nchi Na Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Mhe.Aswege Kaminyoge amewataka Wananchi…
16 November 2023, 8:22 pm
Na Nicholaus Machunda Mkuu wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Mh, Aswege Kaminyoge ameonya wananchi wanaohujumu miundombinu ya maji yanayotoka Ziwa Viktoria kuja kata ya Sengwa iliyopo wilayani hapa kupitia wilaya ya Kishapu. Mh Kaminyoge amesema hayo wakati Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ilipotembelea mradi huo ambao umekuwa ukihujumiwa mara kwa mara …
8 November 2023, 17:53
Wizara ya Maji Kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wamefanikiwa kufikia asilimia 72.2 ya usambazaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi, na kupunguza kwa kiwango kikubwa cha ukosefu wa…
2 November 2023, 5:42 pm
Ukosefu wa huduma ya maji safi na salama, tishio la fisi vijijini katika wilaya ya Nyang’hwale umeendelea kuwapa changamoto wananchi wanaoishi maeneo hayo ambao huchangia maji na mifugo huku wakitembea umbali wa kilomita 20 kufuata maji. Na Mrisho Sadick –…
24 October 2023, 2:16 pm
Mkataba umesainiwa 23 Oktoba, ikiwa ni awamu ya kwanza, mradi ambao utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 312 kwa ujenzi wa Bwawa lenye ujazo wa lita za maji milioni 440. Na Seleman Kodima Wizara ya Maji imesaini mkataba wa mwaka mmoja…
16 October 2023, 6:44 pm
Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wapo kwenye mpango wa bajeti katika kuhakikisha miundombinu ya maji katika kijiji cha Handali inafufuliwa. Na Mindi Joseph. Kusimama kwa Mradi wa Maji unaogharimu zaidi ya Milioni 600 katika kijiji cha…
4 October 2023, 7:29 pm
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bunda BUWSSA inatarajia kufunga mita mpya takribani 6000 na kuondoa mita za zamani Na Catherine Msafiri Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Bunda (BUWSSA) Bi. Esther Gilyoma, amesema…
20 September 2023, 13:09
Kwa mujibu wa sera ya maji ,Maji ni muhimu kwa viumbe vyote duniani, bila maji hakuna uhai. Aidha maji ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii.Upatikanaji wa maji safi na salama kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na usafi…
19 September 2023, 4:31 pm
Mkoa wa Dodoma unazalisha nusu ya mahitaji ya maji ambapo mahitaji ya maji ni lita Milion 133 kwa siku na yanayozalishwa ni lita milion 67.8 hivyo kuwa na upungufu wa lita Milioni 66.7 kwa siku. Na Mindi Joseph. Mradi wa…