Dodoma FM
Unyonyeshaji
17 August 2021, 12:29 pm
Immelezwa kuwa wanawake wengi nchini hawazingatii unyonyeshaji wa watoto ipasavy…
Na;Mindi Joseph . Imeelezwa kuwa ni asilimia 58% ya wamama nchini ndio wananyonyesha watoto wao kikamilifu huku Watoto wengi wakikosa maziwa ya mama ipasavyo. Akizungumza na Taswira ya habari Ruth Mkopi Afisa tafiti mwandamizi Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania…
6 August 2021, 9:59 am
Kwa mujibu wa tafiti zilizo fanywa 2018 asilimia 31.8 ya watoto Nchini wakabiliw…
Na;Mindi Joseph . Ikiwa ni Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji Maziwa ya mama Duniani asilimia 31.8 ya watoto nchini wametajwa kuwa na udumavu kwa mujibu wa utafiti wa hali ya lishe mwaka 2018. Hayo yamebainishwa leo na Mratibu wa Lishe…