Dodoma FM

Unyonyeshaji

20 January 2023, 3:12 pm

Serikali yatatua kero ya maji Mvumi Misheni

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Mvumi misheni Wilayani Chamwino wameipongeza na kuishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa juhudi za kutatua changamoto ya maji Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa kujengwa kwa mradi  huo wa …

20 October 2022, 12:20 pm

Wakazi wa Chenene walia na uhaba wa maji

Na; Benard Filbert. Kusuasua kwa upatikanaji wa huduma ya maji katika kijiji Cha Chenene wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma imetajwa kuwa kero kwa wakazi wa eneo . Taswira ya habari imefika katika kijiji cha Chenene nakujionea hali halisi ya upatikanaji…

19 October 2022, 8:57 am

Serikali yaahidi kutatua changamoto ya maji Chunyu

Na;Mindi Josph . Serikali imeahidi kuchimba visima vya maji ili kutatua changamoto ya maji inayowakabili wananchi  wa kijiji cha chunyu wilayani Mpwapwa. Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wananchi wa Kijiji hicho wamesema hadi sasa wanatumia maji chumvi ambayo…

19 July 2022, 1:35 pm

Serikali yatenga bilioni 387. 73 kwaajili ya maji vijijini

Na;Mindi Joseph . Serikali imetenga Shilingi Bilion 387.73 kwa ajili ya uwekezaji wa huduma ya  maji maeneo ya vijijini ili kutatua changamoto inayowakabili wananchi. Akizungumza leo jijini Dodoma na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali Mkurungezi Mkuu wa…

28 June 2022, 9:17 am

Kisima cha maji chaleta Neema kwa wakazi wa Farkwa.

Na ;Victor Chigwada. Kupatikana kwa mita ya kisima Cha maji katika Kijiji cha Farkwa imesaidia kupunguza changamoto ya maji katika eneo hilo. Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo Bw.Stephano Patrick amekiri hali ya upatikanaji wa maji Kijiji…

31 May 2022, 1:30 pm

Uhaba wa maji Suguta ni kikwazo cha ndoa nyingi

Na;Mindi Joseph .           Wananchi Kijiji cha Suguta wilayani kongwa wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya maji ambayo inawakabili kwa Muda mrefu. Taswira ya habari imezungumza na Baadhi ya wanawake ambapo wamesema wamekuwa wakilazimika kukaa kisima kwa muda mrefu wakisubiria kuchota maji.…

6 May 2022, 3:13 pm

Mazae waendelea kupata changamoto ya maji

Na,Mindi Joseph. Changamoto ya upatikanaji wa maji bado inaendelea kuwakabili wananchi wa kijiji cha mazae wilayani mpwapwa. Taswira ya habari imezungumza na Mwenyekiti wa kijiji cha mazae steven Makasi ambapo amesema changamoto hii imekuwepo kwa muda  kirefu. Ameongeza kuwa wananchi…