Uchumi
March 3, 2023, 2:51 pm
Ukaguzi wa Mapato Geti la Mfumbi Makete
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Makete William Makufwe akiangalia Magunia ya Viazi geti la Mfumbi
30 January 2023, 7:00 am
Shirika la ndege la KLM laiomba Radhi Tanzania
Shirika la ndege la KLM limetoa ufafanuzi na kuomba radhi juu ya kusitisha safari zake za ndege kuja Tanzania pamoja na kutoa taarifa ya uwepo wa machafuko Nchini. Kupitia barua ya Meneja wa Air France-KLM Tanzania, kwa Waziri wa Ujenzi…
22 January 2023, 10:45 am
Uzalishaji wa sukari umeongezeka hapa Nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema kuwa uzalishaji wa sukari nchini umeongezeka hadi kufikia zaidi ya tani 70,000 na kufanya kuwa na zaidi ya tani 160,000 kwenye maghala katika kipindi cha 2022 /2023…
6 January 2023, 4:55 pm
Maumivu kwa jamii bei za vyakula zikizidi kupaa
Shirika la Chakula Duniani, FAO, limesema bei za vyakula duniani zilipungua mwezi Desemba na kuashiria kushuka kwa mwezi wa tisa mfululizo, ingawa zilifikia kiwango cha juu zaidi katika rekodi ya mwaka mzima wa 2022. Faharasa ya bei ya chakula ya…
1 December 2022, 5:05 am
Serikali iingilie kati kipindi cha mauzo ya Pamba
TANGANYIKA Wakulima wa pamba wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi wameiomba serikali kipindi cha mauzo ya pamba kuingilia kati na kusimamia zoezi ili kuepusha sintofahamu ambayo huwa inajitokeza kwa baadhi ya maeneo watu kutokulipwa stahiki Zao. Maombi hayo wameyatoa wakati wa…
29 November 2022, 8:24 pm
CCM Katavi yapongeza mahusiano mazuri ya Wafanyabiashara na TRA.
MPANDA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoani Katavi Idi Hassan Kimanta amesema Mahusiano bora baina ya wafanyabiashara na mamlaka ya mapato [TRA] mkoani Katavi ni sababu ya Kuwa kinara katika ukusanyaji bora wa mapato. Amesema Hayo wakati wa kilele cha…
27 November 2022, 7:04 am
Manispaa Ya Iringa Yaipongeza Kampuni Ya ASAS Kutwaa Tuzo Ya Ulipaji Kodi Bora
HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa imeyaipongeza makampuni ya Asas kwa kupata tuzo ya ulipaji Kodi bora kutoka kwa mamlaka ya mapato(TRA) jambo linalosaidia kukuza uchumi wa Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Ibrahim…
2 November 2022, 5:25 pm
Mbunge Kabati Ahoji mkakati wa Kuhamasisha wanawake kuchimba madini- Agusia Nyak…
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Iringa Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr Ritta Kabati ameihoji serikali ina mkakati gani wa kuhamasisha wanawake kujihusisha katika sekta ya uchimbaji wa madini. Mbunge Kabati ametoa hoja hiyo bungeni Jijini Dodoma katika kipindi…
25 October 2022, 4:05 pm
Bodi Ya Sukari Yaanza Mkakati Wa Kuongeza Uzalishaji
BODI ya Sukari Tanzania imeanza mikakati ya kuongeza uzalishaji wa sukari nchini ili kukabili na uhaba wa bidhaa hiyo ambapo wanatarajia ifikapo mwaka 2025/2026 uzalishaji wa sukari utaongezeka hadi kufikia tani laki 756. Hayo yamesemwa leo Oktoba 25,2022 jijini Dodoma…
8 October 2022, 7:39 am
Waziri Mkenda Ataka Chuo Cha DIT Kuongeza Mafunzo Kwenye Ujuzi Wa Bidhaa Za Ngoz…
Serikali imeitaka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Saalam (DIT) kuhakikisha kuwa inaongeza ufundishaji kwenye ujuzi wa bidhaa za ngozi. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameyasema hayo wakati alipotembelea chuo hicho kampasi ya Mwanza ili…