Radio Tadio

Siasa

14 July 2023, 4:24 pm

Ahadi zilizoahidiwa kwenye uchaguzi zitekelezwe

Katika uchaguzi wa wa uongozi katika nyadhifa mbalimbali ukiwemo wa mtaa, viongozi hunadi sera zao kwa wananchi ili waweze kupigiwa kura za kuwahudumia wananchi wa eneo husika, Je ahadi huwa zinatekelezwa? Na Zubeda Handrish- Geita Kufuatia utaratibu wa Kipindi cha…

13 July 2023, 12:00 pm

Uchaguzi mdogo wa madiwani Tanzania bara kufanyika leo

Upigaji kura unafanyika katika vituo vilivyotumika wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 na mpiga kura aliyepoteza kadi au kadi yake kuharibika ataruhusiwa kutumia kitambulisho mbadala iwapo tu atakuwa ameandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura . Na Mindi…

13 July 2023, 11:49 am

Baiskeli 58 zatolewa kwa vikundi vya wanawake UWT Tabora

Jumla ya baiskeli 58 zimetolewa na kugawiwa; baiskeli mbili kila kata kwa vikundi vya wanawake UWT pamoja na vijana mkoani Tabora  ili kuwasaidia kujikwamua kiuchumi. Na Zaituni Juma Mbunge wa viti maalum mkoani Tabora Munde Tambwe amesema baiskeli hizo zilizotolewa…

7 July 2023, 7:33 pm

ACT wazalendo walalamikia bendera zao kushushwa

Katibu wa ACT- Wazalendo amekuja juu na kutoa shutuma baada ya bendera kadhaa za chama chao kushushwa katika mitaa na barabara za mjini Geita, jambo lililopelekea Katibu wa chama hicho kuzungumzia hilo. Na Said Sindo- Geita Bendera za chama cha…

21 June 2023, 3:16 pm

Chongolo: Watoto wasimamiwe waende shule

Chongolo amesema wakati watoto wanapokuwa mashuleni sio wakati wa viongozi kukaa ofisini badala yake wajipange na kuratibu kuhakikisha watoto wote wanajiunga na masomo na si vinginevyo. Na Bernadetha Mwakilabi. Katibu mkuu wa Chama Chama Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo amewataka…