Radio Tadio

Nishati

4 March 2023, 5:54 pm

Kupanda kwa Bei ya Mafuta Kilio kwa Abiria Katavi

KATAVI Abiria wa vyombo vya moto mkoani Katavi wameiomba serikali ipunguze bei ya mafuta kwani hali hiyo ina athiri shughuli zao za kila siku. Wakizungumza na mpanda Radio fm abiria hao wamesema kuwa kwa sehemu walizokua wakienda kwa Shilingi mia…

8 February 2023, 12:50 pm

Ukosefu wa nishati ya umeme yaleta chuki kwa viongozi

Imelezwa kuwa kukosekana kwa huduma ya nishati ya umeme kwa baadhi ya vitongoji katika Kata ya Idifu imesababisha baadhi wananchi kujenga chuki kwa viongozi na kutaja kitendo cha kukosekana kwa nishati hiyo ni uzembe wa viongozi. Na Victor Chigwada. Mwenyekiti…

22 January 2023, 10:18 am

Matumbulu walalamika gharama za umeme

Na; Mindi Joseph. Gharama kubwa ya kuunganisha umeme wa TANESCO katika  mtaa wa Kusenha kata ya Mpungunzi imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi kuunganisha umeme huo. Gharama za kuunganisha umeme wa TANESCO ni zaidi ya laki tatu tofauti na umeme wa…

13 January 2023, 4:11 pm

Vijiji 64 vyapata umeme jiji la Dodoma

Mkoa wa Dodoma una miradi mitano ya Umeme Vijiji ambapo mradi uliokamilika umewezesha kupelekea umeme kwa maeneo 80 ndani ya Vijiji 64. Thomas mbaja ni mwakilishi wa REA amefafanua hilo ikiwa ni utekelezaji wa kuhakikisha umeme vijijini .

8 December 2022, 5:33 pm

Bei za mafuta zapokelewa Kwa mikono miwili Katavi

MPANDA Madereva wa vyombo vya moto Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi wametoa maoni yao juu ya mwenendo wa kushuka na kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizel. Wakizungumza na Mpanda Radio fm kwa nyakati tofauti madereva…

1 December 2022, 8:11 am

Wakazi wa Silwa walalamika kukosa huduma ya Umeme

Na; Victor Chigwada .  Pamoja na jitihada za kusambaza umeme zinazo endelea nchini katika maeneo yaliyopo nje ya miji lakini bado baadhi ya maeneo yameendelea kuwa na kilio cha huduma hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa…

1 December 2022, 7:29 am

Serikali yasaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato

Na; Mariam Kasawa. Baada ya miaka 12 Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha RUVUMA – MTWARA. Mkataba huu unaweka utaratibu wa serikali kupata zaidi. Kwa mara ya kwanza Serikali inapata kwenye Mapato ghafi…

11 November 2022, 5:06 am

EWURA kutatua malalamiko huduma za nishati na maji

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),  Mhandisi Modeatus Lumato,amesema kuwa wamejipanga kupokea na kutatua malalamiko ya watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji ili wananchi wapate thamani halisi ya huduma zinazodhibitiwa Hayo ameyasema …