Radio Tadio

Miundombinu

31 July 2023, 16:22

Waziri Mbarawa atoa siku 15 kwa mkandarasi Kigoma

Na, Emmanuel Matinde Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, ametoa siku 15 kwa mkandarasi kampuni ya Sinohydro Corporation inayojenga kipande cha pili cha barabara ya Kabingo – Manyovu mkoani Kigoma kufikisha mitambo eneo la kazi ili kukamilisha ujenzi…

28 July 2023, 2:13 pm

Billioni 12 zatarajiwa kutekeleza miradi ya barabara Bahi

Kupitia mradi huo wananchi wametakiwa kuanzisha miradi midogomidogo itakayowasaidia kujikwamua kimaisha. Na.  Bernad Magawa Zaidi ya Shilingi Billion 12 zinatarajiwa kutekeleza miradi ya barabara wilayani Bahi mwaka huu ili kuboresha miundombinu ya usafiri na kuharakisha maendeleo ya wananchi wa Bahi.…

27 July 2023, 5:10 pm

Wananchi Buchosa walia na ubovu wa barabara

Baadhi ya barabara kongwe nchini zimeonekana kutelekezwa na serikali ili hali zilitumika katika harakati za kudai uhuru wa taifa la Tanganyika zaidi ya miaka 60 iliyo pita. Na: Katemi Lenatusi Wananchi wa vijiji vya Busekeseke na Magulukenda katika kata ya …

26 July 2023, 7:36 pm

Mafinga wakamilisha ujenzi wa Miradi ya Boost.

Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Halima Dendego ameipongeza Halmashauri ya Mji Mafinga kwa Utekelezaji wa Miradi ya BOOST. Dendego ametoa pongezi hizo baada ya kutembelea Shule ya Msingi Nyamalala iliyokamilisha ujenzi wa vyumba vitano(5) vya madarasa…

15 July 2023, 11:22 am

Mbunge Nyamoga Aahidi ujenzi wa Shule ya Msingi

Na Mwandishi wetu Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Mh Justine Nyamoga ameahidi kuanza ujenzi wa shule ya Msingi Kising’a ili kunusuru watoto wanaotembea umbali mrefu kufuata elimu. Mh. Nyamoga ambaye yupo kwenye ziara inayolenga kusikiliza kero za wananchi wake katika…