Radio Tadio

Miundombinu

7 June 2023, 6:53 pm

Wananchi Mpwayungu waishukuru serikali kwa kuboresha barabara

Katika maeneo mbalimbali ndani ya mkoa wa dodoma ukarabati wa miundombinu mbalimbali umekuwa ukifanywa ambapo imekuwa ikisaidia kwa kiasi kikubwa katika kupunguza changamoto ya usafiri . Na Victor Chigwada. Wananchi wa kata ya Mpwayungu iliyopo katika wilaya ya Chamwino mkoani…

5 June 2023, 5:56 pm

DC Gondwe aagiza miradi ya BOOST kukamilika kwa wakati

Pia alitembelea jengo jipya la benki ya NMB wilaya ya Bahi ambalo tayari limekamilika na linatarajiwa kuanza kutoa huduma muda wowote. Na Bernad Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwe ameagiza miradi yote ya miundombinu ya elimu wilayani…

1 June 2023, 1:50 pm

Serikali kufanya majaribio ya treni ya mwendokasi Julai

Hayo yamesemwa na msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma. Na Alfred Bulahya. Serikali inatarajia kufanya majaribio ya treni ya mwendokasi (SGR) ifikapo mwezi Julai mwaka huu badala ya mwezi Mei kama ilivyotangazwa…

31 May 2023, 5:11 pm

DUWASA kuchimba visima 30 kuanzia Julai

Hadi kufika mwaka 2051 Duwasa inatarajia kuzalisha lita za maji milion 417 kwa siku. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA)  inatarajia kuchimba visima 30 vya maji katika maeneo yote mkoani Dodoma kuanzia mwezi…

26 May 2023, 10:47 am

TAKUKURU yabaini mapungufu wilaya ya Tanganyika

KATAVI Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Katavi imebaini kuwepo kwa mapungufu yakiwemo usimamizi mbovu wa ujenzi wa miradi, ukiukwaji wa mikataba na ucheleweshaji wa kukamilisha miradi mitano katika halmashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani hapa.…

19 May 2023, 6:42 pm

Chamwino watakiwa kukamilisha miradi kwa wakati

Katika ziara hiyo ya kikazi katibu Tawala amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Wilaya ya Chamwino, Zahanati ya Kijiji Cha Wilunze na Mradi wa ujenzi wa vyumba viwili vya maabara ya kemia na baiolojia katika Shule ya…