Radio Tadio

Miundombinu

6 July 2023, 4:50 pm

Bahi: Nollo kupeleka umeme, maji shule mpya ya Nagulo

Nollo amesema kufanya hivyo kutaongeza thamani katika mradi huo ulioletwa na serikali kwa lengo la kuwasaidia wananchi. Na Bernad Magawa Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ameahidi kupeleka huduma ya maji umeme pamoja na kuchonga barabara kuingia shuleni…

6 July 2023, 7:35 am

Bilioni 7.9 kukamilisha ujenzi wa daraja Berega

Kukamilika kwa daraja la Berega kutawaondolea adha ya muda mrefu ya upatikanaji wa usafiri waliyokuwa wanakabiliana nayo wananchi wa kata ya Berega ambayo ilichangia wananchi kupoteza maisha wakivuka kwenye mto wakati wa masika ili kufuata mahitaji muhimu ya kijamii. Viongozi…

5 July 2023, 3:31 pm

Senyamule akabidhiwa miradi ya BOOST wilayani Bahi

Senyamule amepongeza uongozi wa wilaya ya Bahi kwa mshikamano ambao umewafanya kuwa wa kwanza kukamilisha miradi hiyo. Na Bernad Magawa Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Rosemary Senyamule amekabidhiwa jumla ya madarasa 51, vyoo 63, majengo 2 ya utawala  pamoja…

4 July 2023, 11:07 am

21 mbaroni wizi miundombinu ya maji

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo mbali mbali vya uhalifu vikiwemo vya wizi wa vifaa vya miundo mbinu ya maji. Na Nicholaus Mwaibale Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi Richard…

30 June 2023, 10:34 am

Marufuku kuacha moto ndani ya duka

KATAVI Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Katavi linaendelea na uchunguzi wa ajali ya moto iliyotokea katika duka moja soko kuu Mpanda huku likionya wanaoacha moto wakati wa kufunga maduka yao. Kamishna msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa…

30 June 2023, 10:31 am

TARURA Mpanda kuboresha barabara

MPANDA. Meneja wa Tarura wilaya ya Mpanda mkoani Katavi Kahose Joseph ameeleza namna Tarura inavyotenda kazi katika barabara zilizo chini ya mamlaka hiyo. Kahose Joseph amebainisha hayo wakati akizungumza na Mpanda redio fm amesema lengo ni kuongeza uelewa kwa wananchi…