Radio Tadio

Miundombinu

29 August 2023, 10:05 am

Kizungumkuti Barabara ya Kabungu – Karema

TANGANYIKA. Baadhi ya Wananchi Mkoani Katavi wanaotumia Barabara ya Kabungu kwenda Karema wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara hiyo na kuitaka serikali kuifanyia matengenezo kwa kiwango cha lami. Wakizungumza na mpanda redio fm kwa nyakati tofauti wananchi hao wameleeza kuwa…

27 August 2023, 12:33 pm

Wananchi mamlaka ya mji mdogo Katoro walia na TARURA

Changamoto ya barabara za mitaa katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro imekuwa ya muda mrefu kiasi cha wananchi wa eneo hilo kuibuka tena na kutoa ya moyoni. Na Zubeda Handrish- Geita Baadhi ya wananchi wa kata ya Ludete katika…

21 August 2023, 5:58 pm

Mapato ya ndani kukamilisha kituo cha afya Nagulo Bahi

Kituo hicho cha afya kimetumia mapato ya ndani katika ujenzi wake huku wananchi wakichangia milion 6 na Mbunge wa jimbo hilo akichangia milion 6. Na Mindi Joseph. Jumla ya shilingi milion 62 zimetumika katika ujenzi wa kituo cha afya wilayani…

17 August 2023, 1:12 pm

Ubovu wa barabara wawaibua wananchi Ikunguigazi Geita

Kuelekea msimu mpya wa mvua wananchi wilayani Mbogwe wamezihofia barabara zao zikiwemo zilizotelekezwa kwa muda mrefu huenda zikawapa changamoto iwapo hazitafanyiwa marekebisho. Na Nicholous Lyankando: Wananchi wa vijiji vya Ikunguigazi na Nyikonga wilayani Mbogwe mkoani Geita wamesikitishwa na kitendo cha…

14 August 2023, 1:54 pm

Bandari Pemba yakusanya zaidi ya bilion 2

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imetembelea  bandari ya Mkoani Pemba na kushuhudia madadiliko katika bandari hiyo ikiwemo  katika njia ya kupitia abiria ambapo sasa abiria wanaweza kupita bila ya kupigwa na jua au mvua inaponyesha. Na Is-haka Mohammed…

8 August 2023, 4:46 pm

Wafanyabiashara wa kokoto waomba bei elekezi

Ni muhimu kuwepo kwa upangaji na usimamizi wa bei elekezi katika shughuli mbalimbali za kibiashara, ili kuepusha migongano kati ya wafanyabiashara kutokana na kujipangia bei zao wenyewe na ushawishi binafsi kutoka kwa wateja. Na Neema Shirima. Baadhi ya Wafanyabiashara wa…