Radio Tadio

Miundombinu

13 September 2023, 5:46 pm

Wananchi Membe waomba semina zaidi mradi wa bwawa

Mradi huo wa kilimo cha umwagiliaji unatarajia kuchukua takribani hekari 8000 ambapo ndani yake ndipo yanapatikana mashamba ya wananchi wanao hitaji kufahamu hatima ya mashamba hayo. Na Victor Chigwada. Uelewa wa wananchi wa Kijiji cha Membe wilayani chamwini kuhusu Mradi…

11 September 2023, 10:08 pm

Ujenzi daraja la Magufuli wafikia 76%

Serikali imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Magufuli la Busisi-Kigongo jijini Mwanza ambalo linatarajiwa kukamilika mapema mwaka kesho. Na Mrisho Sadick – Geita Ujenzi wa daraja la Magufuli la Kigongo Busisi jijini Mwanza umefikia asilimia 76…

6 September 2023, 2:27 pm

Upungufu wa madarasa Vilindoni wasababisha mrundikano wa wanafunzi

Jumla ya madarasa 19 yanahitajika kujengwa katika shule hiyo ili kupunguza mrundikano wa wananfunzi darasani. Na Mindi Joseph. Upungufu wa madarasa katika shule ya msingi Vilindoni umesababisha mrudukano wa wananfunzi darasani. Darasa moja wanafunzi wanakadiriwa kukaa 90 hadi 100. Hapa…

1 September 2023, 11:41

TPA Kigoma yadhamiria kuboresha usafirishji mafuta kwenda Burundi

Katika kuboresha huduma za usafirishaji, Mamlaka ya Bandari Tanzania mkoani Kigoma imesema inaendelea kuboresha usafirishaji wa mafuta kwa nchi ya Burundi. Na, Tryphone Odace Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA mkoa wa Kigoma, imeanza kuchukua hatua za kuboresha nyanja…