Radio Tadio

Miundombinu

6 October 2023, 10:29 am

Shilingi bilioni 70 zatengwa kuwalipa wakandarasi nchini

Na Frank Leonard Serikali imetangaza kutenga Sh bilioni 70 kila mwezi kwa ajili ya kulipa madeni ya wakandarasi wa ndani na nje wanaotekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi nchini. Akitoa taarifa hiyo leo mara baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa…

6 October 2023, 08:01

Wananchi waipa kongole serikali kwa ujenzi wa madaraja ya mawe

Teknolojia ya ujenzi wa madaraja kwa kutumia mawe imetajwa kuwa mkombozi kwa wananchi wa wilaya za Kigoma baada ya kurahisisha shughuli za usafirishaji. Na. Tryphone Odace Wananchi wa vijiji vya Nyamidaho, Bitale Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na Nyamihanga wilaya…

28 September 2023, 10:40 pm

Madarasa mapya kupunguza msongamano wa wanafunzi Makulu

Ujenzi wa Madarasa Matano katika shule ya Dodoma Makulu tayari umekamilika huku ushiriki wa wananchi katika ujenzi huo ukitajwa kuwa mkubwa. Na Mindi Joseph. Shilingi milion 100 zimetumika katika ujenzi wa madarasa 5 katika shule ya msingi Dodoma Makulu na…

28 September 2023, 9:44 pm

Mlebe waiomba serikali kukarabati barabara

Ubovu wa miundombinu ya barabara umekuwa ukikwamisha shughuli za uchumi kwa wananchi kwani wanashindwa kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Na Mindi Joseph. Wananchi wa Kijiji cha Mlebe Wilayani Chamwino wameiomba serikali kuwakarabatia barabara inyaounganisha kijiji hicho na Mjini ili…

20 September 2023, 4:45 pm

Hombolo Makulu walia na uchakavu wa shule

Mazingira magumu au uchakavu wa miundombinu ya shule pamoja ongezeko la wanafunzi ni moja ya changamoto zinazo ikabili sekta ya elimu. Na Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa Hombolo Makulu wamelalamikia uchakavu wa miundombinu ya shule yao ya msingi hali…