Radio Tadio

Miundombinu

7 December 2023, 1:43 pm

Ndege kuruka saa 24 Arusha

Uwanja wa ndege wa Arusha ni uwanja unaoongoza kwa kupokea ndege nyingi kuliko viwanja vyote nchini Tanzania lakini hautumiki kwa saa 24 kwa sababu ya kukosa taa. Na.Anthony Masai Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuanza kuweka taa katika…

4 December 2023, 4:45 pm

Ujenzi daraja la Munguri kuanza Januari mwakani

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema daraja hilo ni lazima lijengwe kwa kuwa ni daraja la kitaifa. Na Nizar Mafita. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amethibitisha  ujenzi wa daraja la Munguri kuanzia mwezi Januari mwakani. Akitoa maelezo mafupi kwa Waziri…

2 December 2023, 3:41 pm

RC Katavi apiga marufuku shughuli katika hifadhi ya barabara

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko akizungumza na Wajumbe katika kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa hatua zaidi ziweze kuchukuliwa kwa Wananchi watakaobainika kufanya Shughuli zilizo kinyume katika hifadhi ya Barabara. Na Anna Milanzi -Katavi Mkuu wa Mkoa wa…

19 November 2023, 4:37 pm

Madiwani Maswa wakerwa na majibu ya TARURA

 TARURA wilayani Maswa mkoani Simiyu inayohudumia mtandao wa barabara wenye jumla ya Km 184.2 na iliyofikia 77% ya Barabara zinazopitika kwa nyakati zote za msimu sawa na km 837.39 imelalamikiwa kwakushindwa kupeleka   kwa wakati wakandarasi kwenye baadhi ya Barabara Wilayani…

17 November 2023, 11:55 am

Prof Kabudi akabidhi mradi wa kukabarati barabara Kilosa

Serikali imeendelea kuwafikia wananchi waishio vijijini  kwa kuwasogozea nyanja za ufunguzi wa maendeleo hususani katika ukarabati wa barabara kupitia wakala wa barabara za mijini na vijijini (TARURA) ambapo zinakwenda kuwaunganisha wananchi pamoja na kuwainua kiuchumi kwenye kilimo ambayo watayasafirisha hadi…

7 November 2023, 3:42 pm

Chama cha mafundi kuboresha mazingira ya kazi zao Dodoma

Ufundi ni moja kati ya tasnia yenye mchango mkubwa katika kuanzisha ukuaji wa miji. Na Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa uwepo wa chama cha mafundi rangi na ujenzi Mkoani Dodoma itasaidia kwa kiasi kuboresha mazingira ya kazi kwa mafundi hao. Kutokana…

31 October 2023, 10:49 am

Wakandarasi watakiwa kuzingatia matakwa ya jiji la Dodoma

Huu ni mpango wa Uboreshaji wa Miundombinu katika miji ya Tanzania ujulikanao kama TACTIC  unaofanywa na wakandarasi watatu. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi waliopewa miradi ya kujenga miundombinu ya barabara katika jiji…