Radio Tadio

Miundombinu

25 Oktoba 2023, 11:39

BOOST, EP4R na TEA zaing’arisha shule ya msingi Pangani

Serikali kupitia viongozi wetu wametuheshimisha, madarasa yaliyojengwa yatakuwa msaada mkubwa kwa wanafunzi. Na Cosmas Clement. Serikali imefanikiwa kutumia zaidi ya shilingi milioni 100 kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/21 hadi 2022/23 kwa ajili kutekeleza ujenzi wa miundombinu ya madarasa…

16 Oktoba 2023, 11:48 mu

Wananchi Tukuyu walilia matuta kupunguza ajali za barabarani

Na Sabina Martin Rungwe-MbeyaKufuatia uwepo wa ajali za mara kwa mara katika eneo la ushirika mji mdogo wa Tukuyu wilayani Rungwe mkoani Mbeya wananchi wa eneo hilo wameiomba serikali kuweka matuta katika eneo hilo. Baadhi ya wananchi waliozungumza na chai…

11 Oktoba 2023, 17:13

Kiwanda cha kutengeneza meli kujengwa Kigoma

Hatua ya kuanza ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza meli kinatjwa kuwa ni miongoni mwa mikakati ya Serikali kuboresha huduma za usafirishaji ndani ya Ziwa Tanganyika. Na, Tryphone Odace Serikali Kupitia Wizara ya Uchukuzi, imetia Saini makubaliano ya kuanza ujenzi wa…

10 Oktoba 2023, 17:48

Pangani kupata usafiri wa majini wa uhakika

“Fanyeni kazi mkiwa na amani, hayo mengine mlionieleza mimi ni mlezi wenu nitakwenda kuyashughulikia.“ Na Saa Zumo Halmashauri ya Pangani mkoani Tanga iko mbioni kupata uhakika wa usafiri wa majini baada ya kufanya mazungumzo na wawekezaji wa usafirishaji wa majini.…

6 Oktoba 2023, 10:29

Shilingi bilioni 70 zatengwa kuwalipa wakandarasi nchini

Na Frank Leonard Serikali imetangaza kutenga Sh bilioni 70 kila mwezi kwa ajili ya kulipa madeni ya wakandarasi wa ndani na nje wanaotekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi nchini. Akitoa taarifa hiyo leo mara baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa…