Miundombinu
7 March 2023, 4:11 pm
Ujenzi wa barabara watajwa kuwa kichocheo cha fursa
Sekta ya barabara imekuwa na mchango mkubwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo usafirishaji wa bidhaa. Na Thadei Tesha. Ujenzi wa barabara kuelekea mtaa wa Ntyuka jijini dodoma unatajwa kuwa chanzo cha kuchochea zaidi fursa za kiuchumi. hayo ni kwa mjibu wa…
24 February 2023, 4:19 pm
Wananchi walia na uhaba wa Miundombinu ya Umeme Chiboli
Jografia ya kijiji hicho cha Champumba imekuwa na changamoto katika kusambaza nguzo za umeme licha ya kupewa ahadi ya kusubiri awamu inayofuata. Na Victor Chigwada. Kukosekana kwa Miundombinu ya Umeme ikiwemo Nguzo za Kutosha katika Kata ya Chiboli Wilaya ya…
21 February 2023, 1:23 pm
Uongozi umetoa pongezi na shukrani kwa shirika lisilo la kiserikali
Shirika lisilo la kiserika la Innovation of Africa limepongezwa na Uongozi wa kata ya Chiboli kwa juhudi zake wanazozifanya za kutatua changamoto. Na Victor Chigwada. Uongozi wa kata ya Chiboli umetoa pongezi na shukrani kwa shirika lisilo la kiserika la…
21 February 2023, 12:31 pm
Ubadilishaji wa miundombinu ya maji taka umefikia asilimia 80
Ubadilishaji wa miundombinu ya maji taka katika Eneo la Area C na D Mkoani Dodoma umefikia asilimia 80. Na Mindi Joseph. Ubadilishaji wa miundombinu ya maji taka katika Eneo la Area C na D Mkoani Dodoma umefikia asilimia 80, hizi…
21 February 2023, 12:17 pm
Waiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kujengewa daraja
Wakazi wa kata ya Dabalo wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kuwajengea daraja linalounganisha baadhi ya vijijini katika kata hiyo. Na Fred Cheti. Wakazi wa kata ya Dabalo wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wameiomba serikali kuchukua hatua…
17 February 2023, 1:55 pm
TARURA yakamilisha marekebisho ya barabara kata ya Chiboli
Marekebisho hayo yanapunguza adha ya wananchi wa kata hiyo kusafiri Umbali wa kilometa zaidi ya ishirini na nane kwa usafiri wa pikipiki. Na Victor Chigwada Diwani wa Kata ya Chiboli Wiliamu Teu ameishukuru mamlaka ya usimamizi barabara za vijijini na…
17 February 2023, 12:36 pm
Ujenzi kiwanja cha Ndege Msalato watakiwa kuongezewa kasi
Machi 13, 2020 Tanzania na bank ya maendeleo ya afrika zilitiliana saini mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa Dola 495.59 milioni za Marekani (Sh1.14 trilioni) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya maendeleo ikiwemo uwanja wa ndege wa…
16 February 2023, 10:55 am
Mzee Mkuchika aiomba serikali daraja kilambo kuinganisha Mtwara na Msumbiji
Waziri wa nchi ofisi rais kazi maalum Kapteni mstaafu George huruma Mkuchika akizungumza katika kikao cha bodi ya barabara mkoani Mtwara, kilichofanyika katika ukumbi wa Boma ameiomba serikali kutengeneza daraja katika mto Ruvuma ili kuunganisha mkoa wa Mtwara na nchi…
16 February 2023, 4:51 am
Wananchi Kapanga Wamlilia Mrindoko
TANGANYIKA Wananchi wa kijiji cha Kapanga Tarafa ya Mwese wilayani Tanganyika wamemuomba mkuu wa mkoa wa katavi kuwasaidia changamoto zinazowakabili katika kijiji hicho. Wakizungumza mbele ya mkuu wa mkoa alipokuwa anakagua miradi iliyojengwa kupitia Fedha za Hewa ya ukaa kijijini…
9 February 2023, 10:30 am
Zaidi ya wananchi 7000 watarajia kunufaika
Zaidi ya wananchi 7000 wa kijiji cha Ibihwa na Mpamantwa Wilayani Chemba wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi na salama pindi ujenzi wa mradi wa kisima kikubwa cha maji unaotekelezwa katika vijiji hivyo utakapokamilika. Na Fred Cheti. Hayo yameelezwa…