Radio Tadio

Miundombinu

6 February 2023, 2:06 pm

Mkandarasi ahimizwa kuharakisha ujenzi wa bwawa Membe

Mradi huo wa Bwawa la umwagiliaji unagharimu shilingi Bilioni 12 na litakapokamilika litachukua eneo lenye ukubwa wa ekari 388 na linatarajiwa kumwagilia mashamba yenye eneo la ukubwa wa ekari 8,000. Na Fred Cheti. Ujenzi wa Mradi wa bwawa kubwa la…

2 February 2023, 10:46 am

TARURA kutatua changamoto ya barabara Chamwino

Wakala wa barabara vijiji na mijini Tarura inatarajia kutatua changamoto ya barabara wilayani Chamwino kupitia bajeti ya mwaka 2023/2024. Na Seleman Kodima. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Chamwino imesema inatarajia kutatau changamoto ya Miundombinu ya Barabara  katika…

14 January 2023, 4:54 pm

TARURA KUJENGA BARABARA ZA LAMI MJINI MASWA

Na mwandishi wetu,Samuel Mwanga. Wakala wa Barabara wa Mjini na Vijijini (TARURA)katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kujenga barabara za kiwango cha lami katika mitaa mitatu  mjini  Maswa katika mwaka wa fedha 2023/2024. Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa…

12 October 2022, 11:04 am

Miganga walalamikia ubovu wa Barabara

Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga wilayani Chamwino wamelalamikia Ubovu wa miundombinu ya Barabara kuwa kero inayosababisha baadhi ya huduma za msingi kupatikana kwa tabu. Hayo yameelezwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na Taswira ya habari…

16 September 2022, 1:57 pm

Kata ya mnadani yaipongeza Dodoma fm Radio .

Na; Benard Filbert. Mwenyekiti wa mtaa wa Karume kata ya Mnadani Jijini Dodoma Bw Matwiga Kiatya ameipongeza Dodoma Fm kwa kuripoti habari kuhusu changamoto ya barabara katika mtaa huo ambayo kwa sasa ipo kwenye mchakato wa Ujenzi Akizungumza na taswira…

8 September 2022, 6:49 pm

Wananchi Watakiwa Kuwa Wavumilivu Maboresho ya Barabara

IVUNGWE- MPANDA Siku chache tangu barabara ya ivungwe kuanza kurekebishwa kwa ahadi ya mbunge Sebastiani Kapufi wananchi wametakiwa kuwa wavumilivu wakisubiri kumalizika kwa mradi huo kutokana na changamoto ya kuharibika kwa mtambo wa kutengeneza barabara hiyo. Akizungumza kwa  njia ya…