Mazingira
15 September 2023, 8:25 am
Maeneo ya ukusanyaji taka jijini Dodoma yatakiwa kuboreshwa
Ukaguzi wa maeneo ya kuhifadhia taka ndani ya jiji la dodoma umefanywa na mkuu wa wilaya hiyo bw. Jabir shekimweri ikiwemo maeneo ya nguhungu, changombe, miyuji pamoja na eneo la chidaji sehemu ya mwisho ya kuzika taka ngumu. Na David…
14 September 2023, 6:30 pm
Wananchi washauriwa kutumia wiki ya maadhimisho ya usafishaji duniani kufanya us…
Maadhimisho ya usafishaji duniani hufanyika kila ifikapo September 16 ya kila mwaka kwa lengo la kuikumnusha jamii juu ya umhimu wa usafi wa mazingira Na Veronica Mabwile – Mpanda Wananchi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameshauriwa kuitumia wiki ya maadhimisho…
13 September 2023, 11:59 pm
Maadhimisho ya 12 ya Mto Mara yazinduliwa rasmi leo
Mamlaka za serikali na wadau wengine wa Mazingira wametakiwa kudhibiti matumizi ya maji yasiyoendelevu na kudhibiti vyanzo vya maji ili kuulinda Mto Mara Na Edward Lucas Maadhimisho ya 12 ya siku ya Mto Mara yamezinduliwa rasmi leo katika Viwanja vya…
13 September 2023, 6:05 pm
Mtanda awapongeza WWF kwa uhifadhi Mto Mara
Na Edward Lucas Mkuu wa mkoa wa Mara, Said Mtanda amelipongeza Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira WWF na wadau wengine katika juhudi wanazozifanya katika kuulinda Mto Mara Mtanda ametoa kauli hiyo leo wakati wa zoezi la upandaji wa…
13 September 2023, 4:35 pm
Mtanda atoa maagizo kwa viongozi wa Serengeti na Tarime
Viongozi wa Wilaya ya Serengeti na Tarime wasimamie sheria zilizowekwa ili kulinda vyanzo vya maji ya Mto Mara Na Edward Lucas Mkuu wa Mkoa wa Mara, Said Mtanda amewaagiza viongozi wa Wilaya ya Serengeti na Tarime kukaa pamoja na kusimamia…
12 September 2023, 11:24 pm
WWF waukingia kifua Mto Mara kuzuia kemikali na vitendo vingine vya uchafuzi
WWF yaweka mpango wa kupanda miti 44,000 kando kando ya Mto Mara na kuweka alama au bikoni ili kuzuia shughuli za uharibifu katika vyanzo vya maji ya mto huo. Na Edward Lucas Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira WWF…
12 September 2023, 1:28 pm
Taka kuwa biashara Zanzibar
Timu ya wataalam kutoka Jumuiya ya Mameya wa Afrika ya Kusini (AMALI) wametoa mafunzo namna ya kutenganisha taka ngumu na taka nyepesi. Na Mary Julius. Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Muhammed Mussa amevitaka vikundi vya usafi kutenga fungu kwa ajili…
12 September 2023, 12:39
Wananchi Mbeya washauriwa kutunza mazingira ili kuepukana na athali ya mabadilik…
Uharibifu wa mazingira duniani kote umekuwa na athali hasi zinazosababisha mabadiliko ya tabia ya nchi,na hivi karibuni tumeshuhudia athali hizo ikiwemo upungufu wa mvua Na Hobokela Lwinga Wananchi mkoani mbeya wameshauriwa kuwa mabalozi wazuri wa utunzaji wa mazingira ili kulinda…
September 12, 2023, 7:51 am
RUWASA Ileje walia na uharibifu wa mazingira
Na Denis Sinkonde, Songwe Wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini RUWASA wilayani Ileje mkoani Songwe walia na changamoto ya uharibifu wa vyanzo vya maji hali inayopelekea baadhi ya miradi kutotoa maji kama ilivyokusudiwa. Hayo yamebainishwa na mratibu wa…
September 11, 2023, 1:12 pm
Wananchi waliovamia ardhi Ileje watakiwa kuondoka
Wananchi waliovamia maeneo yaliyotengwa na wananchi katika kijiji cha Shinji wilayani Ileje mkoani Songwe watakiwa kuondoka Na Denis Sinkonde Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Farida Mgomi wakati akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini…