Radio Tadio

Maendeleo

10 July 2023, 6:23 pm

Kongwa yapongezwa kwa kupata hati safi ya ukaguzi

Senyamule amesema kitendo hiki kimeipa heshima kubwa halmashauri ya wilaya ya Kongwa, mkoa wa Dodoma na nchi kwa ujumla. Na Mariam Matundu. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Kongwa kwa kupata Hati safi…

22 June 2023, 12:53 pm

Wafanyakizi Storm FM wafika bungeni Dodoma

Na Mrisho Sadick: Baadhi ya Wafanyakazi wa Storm FM Redio (Sauti ya Geita) leo Juni 22,2023 wametembelea Bungeni Jijini Dodoma kushuhudia uendeshaji wa shughuli mbalimbali za kibunge kwa mwaliko wa Mbubge wa Jimbo la Geita mjini Mhe Constantine Kanyasu. Wafanyakazi…

21 June 2023, 8:14 pm

Watumishi Mafinga Mji watakiwa kusoma mapato na matumizi

Na Sima Bingileki Watumishi katika Halmashauri ya Mji mafinga Mkoani Iringa wametakiwa kuweka wazi na kuwasomea wananchi mapokezi ya fedha za miradi ya maendeleo kwenye mikutano ya Kata na mbao za matangazo kwani wananchi wanahaki ya kujua mapato na matumizi.…

16 June 2023, 7:24 pm

Wananchi Kilimani waneemeka ufugaji samaki

MPANDA Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Kilimani kata ya Nsemulwa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamekuwa na maoni mseto kutokana na fursa za ufugaji wa samaki zinazofanywa na mwekezaji Injinia Ismail Nassoro. Wakizungumza na kituo hiki wananchi wamesema kupitia…

16 June 2023, 7:22 pm

Wakazi Dirifu waomba utaratibu kusomewa mapato, matumizi

MPANDA Wakazi wa kijiji cha Dirifu manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi wamewataka viongozi wa kijiji hicho kuwa na utaratibu wa kuwasomewa mapato na matumizi ili kuongeza uwajibikaji kwa wananchi. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara, wananchi hao wamesema kuwa kumekuwa…

10 June 2023, 3:35 pm

Mpanda: Wananchi waomba mchakato TASAF upitiwe upya

MPANDA Wananchi wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kupitia upya mchakato wa upatikanaji wa kaya maskini ili kuuwezesha mpango wa kunusuru kaya maskini unafika kwa walengwa kama ilivyokusudiwa. Wakizungumza na Mpanda Radio fm wananchi hao wameonyesha kutoridhishwa na…