Kilimo
18 Januari 2024, 15:33
Wakulima wa chai Rungwe wavikataa vyama vya ushirika
Na Ezra Mwilwa Wakulima wa zao la chai wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wameviomba vyama vya ushirika kuwalipa mapema malipo yao ili waweze kuendeleza kilimo hicho kwa ufanisi. Mwenyekiti wa wakulima hao Ndg. Asajile Mwasampeta amesema wamekua wakipata changamoto ya…
16 Januari 2024, 14:16
Mahindi Rungwe yaanza kukauka
Na mwandishi wetu Katika Ukanda wa juu na kati katika Halmashauri ya wilaya ya Rungwe baadhi ya mashamba mahindi yameanza kukauka. Pamoja na kukauka bado mvua inaendelea kunyesha katika kata zote ikilenga kustawisha mazao mbalimbali. Wakulima Mnakumbushwa kuvuna kwa wakati…
12 Januari 2024, 08:28
Serikali yatoa pikipiki 4 kwa maafisa ugani Kigoma
Serikali imetoa pikipiki 4 zenye thamani ya shilingi Milioni 12 kwa maafisa ugani wa idara ya mifugo na uvuvi katika Manispaa ya Kigoma ili kurahisisha kufanya kazi ya kutoa Elimu kwa wafugaji, wakulima na wavuvi ili wazalishe kwa tija. Na…
20 Disemba 2023, 10:03 um
Maafisa ugani Hai wakabidhiwa pikipiki
Kwa upande wake kaimu wa idara ya mifugo,kilimo na uvuvi ndugu Fraiten Mtika amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia suluhu Hassan kwa kuwaletea pikipiki hizo mpya ambazo ni vitendea kazi muhimu kwaajili ya kuwafikia wananchi na…
19 Disemba 2023, 20:22
Mkuu wa mkoa wa Songwe amezindua zoezi la ugawaji miche TACRI
Na mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Dkt. Francis K. Michael, amezindua zoezi la ugawaji miche ya Kahawa, miti ya Mbao, matunda na vivuli zaidi ya Million sita na kusisitiza jamii kuhamasika kupanda miti kwa wingi kwa faida…
19 Disemba 2023, 19:39
Mbeya ya tatu uzalishaji wa chakula,wananchi washauriwa kuzalisha kwa tija
Na mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde Juma Zuberi Homera ameshiriki Mkutano wa Wadau Nyanda za Juu Kusini lililoandaliwa na Baraza la Kumshauri Rais kuhusu masuala ya Chakula na Kilimo chini ya Waziri Mkuu Mstaafu Mh: Mizengo Kayanza…
13 Disemba 2023, 9:32 mu
Jukwaa la wadau wa kilimo Bunda, larasimishwa rasmi
Jukwaa la wadau wa kilimo wilaya Bunda linalokutanisha halmashauri ya Bunda mji na Bunda Dc limerasimishwa rasmi kupitia kikao kilichofanyika Dec 8 mwaka 2023 katika ukumbi wa Shaloom mjini Bunda. Na Thomas Masalu Jukwaa la wadau wa kilimo wilaya Bunda…
13 Disemba 2023, 9:17 mu
Upatikanaji wa pembejeo ni changamoto kwa wakulima wadogo
Utafiti mdogo uliofanywa na Shirika la Civil Social Protection Foundation (CSP) kwa kushirikiana na shirika la MVIWANYA umebaini kuwa upatikanaji wa pembejeo ni changamoto kwa wakulima wadogo. Na Thomas Masalu Utafiti mdogo uliofanywa na Shirika la Civil Social Protection Foundation…
12 Disemba 2023, 19:28
Songwe waanzisha mradi wa parachichi kujikwamua kiuchumi
Na mwandishi wetu,Songwe Ili Kujikwamua kiuchumi na kuanza kujitegemea Klabu ya waandishi wa Habari mkoa wa Songwe imeanzisha mradi wa kilimo cha zao la parachichi ambalo wanategemea kuanza kuvuna baada ya miaka miwili. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa klabu ya…
11 Disemba 2023, 12:42
Kyela: Ngedere watishia janga la njaa Ipande
Wanyama waharibifu kwa mazao ya chakula aina ya Ngedere wamevamia mashamba ya wananchi wa Ipande na kula mazao shambani. Na Nsangatii Mwakipesile Kufuatia kuwepo kwa uharibifu mkubwa wa mazao unaofanywa na wanyama aina ya ngedere wakulima wa Kata ya Ipande…