Radio Tadio

Jamii

Novemba 1, 2023, 1:19 um

Mbunge Sanga akabidhi baiskeli kwa mlemavu Makete

baada ya wananchi wa kijiji cha kisinga kupaza sauti dhidi ya mlemavu Sinahabari mbunge wa jimbo la makete Festo Sanga kwa kushirikiana na wadau mbali mbali wamemkabidhi baiskeli yenye thamani ya shilingi milioni moja Na Ahazi Ndelwa. Mbunge wa jimbo…

1 Novemba 2023, 11:21 mu

Jamii yatakiwa kushiriki kutokomeza rushwa ya ngono

Rushwa ya ngono inaweza kusababisha athari kubwa kwa mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla. Na Aisha Alim. Jamii imetakiwa kushirikaiana katika kuhakikisha vitendo vya rushwa ya ngono makazini vinatokomezwa kwani ni miongoni mwa vitendo vya ukatili vinavyomnyima mtu haki…

25 Oktoba 2023, 1:02 um

Watendaji wa serikali watakiwa kutatua kero za wananchi

Katika Mkutano huo Mkuu wa wilaya ya Bahi Mh Godwin Gondwe aliambatana na kamati ya usalama ya wilaya hiyo. Na Bernad Magawa Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwa amewaagiza watendaji wa Serikali  katika ngazi zote wilayani humo kuhakikisha…

25 Oktoba 2023, 9:28 mu

Wananchi Dodoma wakemea tabia ya baadhi ya watu kuwatetea wahalifu

Hayo yanajiri kutokana na matukio mbalimbali ya kihalifu yanayoendelea katika  mitaa ya jiji la Dodoma. Na Aisha Shaban. Baadhi ya wanachi wamezungumzia tabia ya baadhi ya watu katika mitaa kupenda kuwatetea wahalifu na kwenda kuwawekea dhamana wakikamatwa hali inayosababisha uhalifu…

20 Oktoba 2023, 5:57 mu

RPC Katavi awataka wazazi, walezi kuzingatia malezi

Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani amewataka wazazi na walezi kuzingatia mahitaji muhimu ya Watoto . Na Ben Gadau – KataviKamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani amewataka wazazi na walezi kuwatimizia mahitaji…

16 Oktoba 2023, 6:24 um

Viongozi wa mitaa watakiwa kushirikiana na viongozi wa dini

Pamoja na hayo, kanisa hilo linategemea kupitia ushirikiano waliongia na Foundation for Hope utaongeza  hali ya upatikanaji huduma za kiroho kwa ujenzi wa makanisa, sambamba na huduma za kijamii ikiwemo zahanati, uchimbaji wa visima vya maji na mahitaji mengine .…

6 Oktoba 2023, 16:05

DC Uvinza apiga marufuku ramli chonganishi kwenye jamii

Serikali imesema itawachukulia hatua za kisheria wanaoendelea kupiga ramli chonganishi kwenye jamii wilayani Uvinza mkoani Kigoma. Na Kadislaus Ezekiel Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Dinna Mathamani amethibitisha kufariki watu watatu wakazi wa kijiji na kata ya Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani…