Jamii
20 October 2023, 5:57 am
RPC Katavi awataka wazazi, walezi kuzingatia malezi
Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani amewataka wazazi na walezi kuzingatia mahitaji muhimu ya Watoto . Na Ben Gadau – KataviKamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani amewataka wazazi na walezi kuwatimizia mahitaji…
18 October 2023, 10:53 am
Nyumba zaidi ya 100 zaezuliwa na upepo Nyang’hwale, mmoja afariki
Tangu kuanza kwa msimu wa mvua mwaka huu imeendelea kuleta madhara kwa baadhi ya wananchi Mkoani Geita huku chanzo cha madhara hayo ni uduni wa makazi. Na Mrisho Sadick: Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyodumu kwa dakika 30 imeezua na…
16 October 2023, 6:24 pm
Viongozi wa mitaa watakiwa kushirikiana na viongozi wa dini
Pamoja na hayo, kanisa hilo linategemea kupitia ushirikiano waliongia na Foundation for Hope utaongeza hali ya upatikanaji huduma za kiroho kwa ujenzi wa makanisa, sambamba na huduma za kijamii ikiwemo zahanati, uchimbaji wa visima vya maji na mahitaji mengine .…
11 October 2023, 10:46 am
Jamii yaeleza inavyojihusisha kumkomboa mtoto wa kike
Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa tarehe 19 Desemba 2011 ulipitisha Azimio na kutangaza kwamba, kila tarehe 11 Mwezi Oktoba itakuwa ni Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike Duniani kote, dhamira ikiwa ni kutambua haki za mtoto wa kike…
6 October 2023, 16:05
DC Uvinza apiga marufuku ramli chonganishi kwenye jamii
Serikali imesema itawachukulia hatua za kisheria wanaoendelea kupiga ramli chonganishi kwenye jamii wilayani Uvinza mkoani Kigoma. Na Kadislaus Ezekiel Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Dinna Mathamani amethibitisha kufariki watu watatu wakazi wa kijiji na kata ya Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani…
2 October 2023, 1:08 pm
Mpambani Kojani wawapa tano polisi jamii
Kojani ni miongoni mwa kisiwa ambacho kinapatikana upande wa Mashariki mwa kisiwa cha Pemba mkoa wa Kaskazini Pemba wilaya ya Wete. Na Mwiaba Kombo Wananchi wa wilaya ndogo Kojani shehia ya Mpambani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba, wameishukuru…
24 September 2023, 6:07 pm
Kamishna wa Polisi Zanzibar atoa onyo wanaobambikia watu kesi
Ujenzi wa kituo cha Mkoani umekuja kufuatia kuchakaa kwa kituo cha polisi Mkoani ambacho kimerithiwa tokea wakati wa ukoloni na kinatumika hadi sasa. Na. Omary Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad amewataka wananchi kuacha tabia ya kutumia vituo…
21 September 2023, 3:15 pm
Katazo la unyago laungwa mkono na baadhi ya wananchi
Inaelezwa kuwa baadhi ya tamaduni zimekuwa zikiwafundisha mabinti katika unyago mambo ambayo hayastahili. Na Khadija Ayoub. Wananchi jijini Dodoma wameonesha kuunga mkono katazo la mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuwapelekea watoto wa kike katika unyago kwani ni kuwaonea na kuwanyima…
September 21, 2023, 10:29 am
waliokata rufaa Tasafu kuhakikiwa upya
kupitia rufaa ya wanufaika wa mpango wa Tasaf wilaya ya Makete,timu ya wataalamu kutoka Halmashauri ya wilaya ya Makete wameanza zoezi la kuhakiki taarifa katika baadhi ya kata za wilaya ya Makete. na Aldo Sanga TASAF Wilaya ya Makete imeanza…
19 September 2023, 2:46 pm
Serikali yaombwa kutunga sheria kali dhidi ya wanaotelekeza familia
Hayo yamaebainishwa na wananchi wilayani Bahi wakati wakizungumza katika mdahalo wa wazi ulioandaliwa na kipindi cha Sakuka na kufanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Na Alfred Bulahya. Wananchi wilayani Bahi mkoani Dodoma wameiomba serikali na bunge kutunga sheria kali kuhusu watu…