Jamii
12 Septemba 2023, 15:23
CCM kuendelea kuisimamia serikali utekelezaji miradi
Na Kelvin Mickdady Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mufindi Ndugu. George Kavenuke amesema chama kitaendelea kuisimamia serikali katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Kavenuke ameyasema hayo akiwa kwenye hafla ya kukabidhi majengo ya zahanati na nyumba ya mganga…
11 Septemba 2023, 12:50
Wananchi jijini Mbeya wakanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni tatizo la maji
Kumekuwa na mkanganyiko juu ya upatikanaji wa maji baadhi ya maeneo mkoani Mbeya hasa kipindi hiki cha kiangazi kitendo kinachopelekea baadhi ya wananchi kulalamika kukosekana kwa maji. Na Samweli Ndoni Baadhi ya wananchi wa kata za Isanga na Iganzo wamekanusha…
7 Septemba 2023, 7:57 um
Kijana akamatwa usiku wa manane akidaiwa kuiba debe mbili za mpunga
Matukio ya wizi katika maeneo mbalimbali mkoani Geita yanaendelea kujitokeza licha ya jitihada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Geita kwa kushirikiana na Jeshi la Jadi. Na Nicolaus Lyankando- Geita Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 27 amekamatwa…
7 Septemba 2023, 1:00 um
Maafisa ustawi jamii watakiwa kutoa elimu ya afya ya akili
Mkutano wa Maafisa ustawi wa jamii umefunguliwa jana jijini Dodoma ambao utadumu kwa muda wa siku mbili na kuwakutanisha maafisa ustawi wa jamii Nchi nzima ili kujadili namna ya kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi. Na Yussuph Hassan. Maafisa ustawi wa…
5 Septemba 2023, 3:35 um
Watoto wasaidiwe kuvuka barabara ili kuepusha ajali
Kundi la watoto ni miongoni mwa makundi yanayohitaji misaada hususani pale wanapokuwa katika maeneo ya barabara ili kuepukana na ajali zinazoweza kutokea. Na Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kushiriki katika suala la kuwasadia watoto pale wanapoelekea shuleni na maeneo mengine ya…
30 Agosti 2023, 12:52
Tanzania, Burundi kukabiliana na ajali Ziwa Tanganyika
Katika kukabiliana na ajali ndani ya Ziwa Tanganyika Serikali ya Tanzania na Burundi zimeonyesha nia ya kushirikiana kutoa elimu ya matumizi ya vifaa vya usafirishaji ndani ya ziwa. Na, Tryphone Odace Nchi za Tanzania na Burundi zimeanza kuchukua hatua za…
30 Agosti 2023, 12:49 um
Auawa akidaiwa shilingi elfu 5 Geita
Matukio ya vijana kudhuriana wao kwa wao kwasababu ya pesa yanaongezeka siku hadi siku, hiyo imepelekea ACP Safia Jondo kuwashauri wazazi kufuatilia mienendo ya vijana wao na watu wao wa karibu. Na Amon Bebe- Geita Kijana mmoja mkazi wa mtaa…
27 Agosti 2023, 3:21 um
Kijana ajinyonga Pemba
Na Is-haka Mohammed Mtu mmoja anayejulikana kwa jina Moh’d Omar Juma maarufu Magodoro anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 mkaazi wa Machomanne Kilimo amefariki dunia baada ya kuonekana akining’inia katika chumba kwa kujinyonga. Khamis Issa Moh`d ni Mwanafamilia wa…
Agosti 26, 2023, 12:50 um
Wanufaika TASAF Wakabiliana na Umasikini Makete
Wanufaika wa Tasaf Makete waeleza jinsi wanavyokabiliana na Umasikini
18 Agosti 2023, 10:21
RC Kigoma apiga marufuku ramli chonganishi
Na, Tryphone Odace Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye amewataka viongozi wa Serikali za mitaa kuchukua hatua za kisheria haraka kwa watu wanaojihusisha na upigaji wa ramli chonganishi kwani imekuwa…