Radio Tadio

Jamii

18 August 2023, 10:21

RC Kigoma apiga marufuku ramli chonganishi

Na, Tryphone Odace Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye amewataka viongozi wa Serikali za mitaa kuchukua hatua za kisheria haraka kwa watu wanaojihusisha na upigaji wa ramli chonganishi kwani imekuwa…

15 August 2023, 16:58

Sabra Machano arudishwa kazini

Na Ivan Mapunda. Aliyekuwa Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar  ZSSF Sabra Issa Machano amefutiwa mashtaka ya ubadhilifu wa fedha  wa bilioni 3 . Akizungumza na Zenj fm mkurugenzi wa taasisi ya Warrior Women Sabra Issa Machano amesema amepokea barua…

15 August 2023, 10:05 am

Mrindoko ‘Jiandaeni Kupokea Mwenge’

KATAVIMkuu wa mkoa wa katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka wananchi mkoani katavi kujiandaa na mapokezi ya mwenge wa uhuru ambao unatarajiwa kupokelewa August 24 katika shule ya msingi vikonge wilaya ya Tanganyika.Ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari…

13 August 2023, 16:08

Kituo cha polisi Tumbatu kwa mara ya kwanza

Kituo hicho cha polisi Tumbatu chenye hadhi ya daraja “c” kinatarajiwa kuwa mkombozi kwa wananchi wa kisiwa hicho. Na Said Bakari. Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amesema kukamilika kwa mradi wa kituo cha Polisi katika Kisiwa cha Tumbatu kutapelekea…

8 August 2023, 11:16 am

Upendo Charity wamfariji Bibi Sabra

Wanakikundi  wa  Upendo Charity, kinachopatikana katika halamshauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, wameshiriki kufanya matendo ya huruma kwa kutoa maziwa ya Lactojeni dazeni moja na nguo za kujikinga na baridi kwa mtoto Sabra  aliyezaliwa hivi karibuni katika Hospitali ya…