Radio Tadio

Jamii

2 Oktoba 2023, 1:08 um

Mpambani Kojani wawapa tano polisi jamii

Kojani ni miongoni mwa kisiwa ambacho kinapatikana upande wa Mashariki mwa kisiwa cha Pemba mkoa wa Kaskazini Pemba wilaya ya Wete. Na Mwiaba Kombo Wananchi  wa wilaya ndogo Kojani shehia ya Mpambani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba, wameishukuru…

24 Septemba 2023, 6:07 um

Kamishna wa Polisi Zanzibar atoa onyo wanaobambikia watu kesi

Ujenzi wa kituo cha Mkoani umekuja kufuatia kuchakaa kwa kituo cha polisi Mkoani ambacho kimerithiwa tokea wakati wa ukoloni na kinatumika hadi sasa. Na. Omary Hassan Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Khamis Hamad amewataka wananchi kuacha tabia ya kutumia vituo…

21 Septemba 2023, 3:15 um

Katazo la unyago laungwa mkono na baadhi ya wananchi

Inaelezwa kuwa baadhi ya tamaduni zimekuwa zikiwafundisha mabinti katika unyago mambo ambayo hayastahili. Na Khadija Ayoub. Wananchi jijini Dodoma wameonesha kuunga mkono katazo la mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuwapelekea watoto wa kike katika unyago kwani ni kuwaonea na kuwanyima…

Septemba 21, 2023, 10:29 mu

waliokata rufaa Tasafu kuhakikiwa upya

kupitia rufaa ya wanufaika wa mpango wa Tasaf wilaya ya Makete,timu ya wataalamu kutoka Halmashauri ya wilaya ya Makete wameanza zoezi la kuhakiki taarifa katika baadhi ya kata za wilaya ya Makete. na Aldo Sanga TASAF Wilaya ya Makete imeanza…

18 Septemba 2023, 4:52 um

Jamii yatakiwa kuwajali yatima na wajane

Katika tukio hilo Jumuiya ya wanawake wakiislamu Tanzania JUWAKITA wilaya ya Dodoma ililenga kuwa pamoja na Wajane 50 na Yatima 100 ikiwa ni muendelezo wa Kutenda Matendo Mema kwa Jamii . Na Seleman Kodima. Jamii imekumbushwa kuwajali,Kuwasaidia na kuwatazama zaidi…

17 Septemba 2023, 15:37

Vikoba vyawa mkombozi kwa wanawake wilayani Kyela

Vikoba wilayani Kyela vimetajwa kuwa chanzo kikuu cha kuinua uchumi kwa wanawake na kupelekea kujikwamua kiuchumi na kuwa tegemezi kwenye familia. Na Secilia Mkini Imeelezwa kuwa vikoba kwa wanawake ni njia mojawapo inayoinua uchumi kwa wanawake kwani huwasaidia katika kuendesha…

15 Septemba 2023, 12:58 um

Lumuli kuwamlika watoto yatima Rungwe

Jamii inatakiwa kuwalea na kuwalinda watoto yatima katika maeneo yao ikiwa ni pamoja na kuwalea katika mazingira yenye usalama kwao. Na Lennox Mwamakula Ili kukabiliana na wimbi la watoto waishio katika mazingira magumu uongozi wa kijiji na kata ya Ndanto…

13 Septemba 2023, 4:59 um

Nini kinapelekea baadhi ya wazazi kutelekeza familia

Leo mchanyato upo Bahi kuzungumza na Jane Mgidange ambaye  ni mratibu wa Elimu jumuishi Wilaya Ya Bahi Kufahamu zaidi nini sababu za  kutelekeza familia. Na Leonard Mwacha. leo tunaangazia sababu za kutelekeza familia ambapo jamii inahusika moja kwa moja kabla…