Radio Tadio

Habari za Jumla

29 Febuari 2024, 16:43

Chunya yaongoza ukusanyaji mapato mkoa wa Mbeya

Na Mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya Chunya imeendelea kuziongoza halmashauri za mkoa wa Mbeya katika ukusanyaji wa mapato kwa tofauti ya zaidi ya asilimia arobaini (40%) baada ya kukusanya shilingi bilioni 7.3 sawa na asilimia 133 kwa kipindi cha…

29 Febuari 2024, 13:06

Wananchi walia na ubovu wa miundombinu ya barabara kigoma

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha uharibifu wa miundombinu ya barabara hali ambayo imewalazimu wananchi kupaza sauti kwa serikali kuwasaidia kukarabati barabara kwenye maeneo yao. Na, Orida Sayon Wananchi wa Kata ya Kalinzi Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani…

28 Febuari 2024, 6:46 um

Jumla ya watoto 61125 kupata chanjo Rungwe

Ili kuhakikisha mtoto analindwa na magonjwa yasiyopewa kipaombele, jamii inatakiwa kuwa mstari wa mbele kujitokeza kuwapatia chanjo. Na lennox Mwamakula Mkuu wa wilaya ya Rungwe Jaffar Hanniu ameiomba jamii kutoa ushirikiano kwa  walimu wanaowahudumia  watoto wenye mahitaji maalum ili watoto…

28 Febuari 2024, 11:15 mu

DC Kaminyoge atoa ufafanuzi  changamoto ya sukari wilayani Maswa

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Mh,  Aswege  Kaminyoge  ametoa ufafanuzi  kuhusu  Changamoto  ya  Kupanda  kwa  bei  ya  Sukari   na  kutoa  maelekezo  ya  Serikali  kuhusu  upatikanaji  wa  Bidhaa  hiyo. Kaminyoge  amesema  hayo  wakati  akizungumza  na  Wafanyabiashara  wa  Maswa na …

28 Febuari 2024, 09:45

kamchape wahatarisha usalama Kasulu

Kufuatia uwepo wa migogoro ya ardhi na suala la ramli chonganishi inayofanywa na watu wanaojiita Kamchape katika kata ya Mganza iliyopo halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma imepelekea suala la ulinzi na usalama kuwa changamoto katani humo. Afisa mtendaji wa…

28 Febuari 2024, 08:58

Vyama vya siasa kushirikishwa vyanzo vipya vya mapato Kasulu

Watendaji wa kata zilizopo ndani ya halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwashirikisha madiwani na viongozi wa vyama vya siasa pindi wanapoanzisha vyanzo vipya vya mapato katika kata zao. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani…

27 Febuari 2024, 19:56

Rc Songwe awapongeza walimu

Na mwandishi wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Dkt. Francis K. Michael, ametembelea na kukagua hali ya ufundishaji na ujifunzaji katika Shule ya Msingi Katete iliyopo Kata ya Mpemba na Shule ya Msingi Mpemba iliyopo Kata ya Katete…

27 Febuari 2024, 19:12

Mahundi akusanya 50m ujenzi wa kanisa KKKT Sinai Mbeya

Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mhandisi Maryprisca Mahundi ameongoza harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Konde Usharika wa Sinai Jijini Mbeya ambapo amechangia…