Radio Tadio

Habari za Jumla

12 December 2022, 11:00 am

Mchungaji afariki Dunia akidai atafufuka

Na: Mrisho Sadick: Katika hali ya kushangaza Mtu anaedaiwa kuwa Mchungaji alietambulika kwa jina la Abdiel Raphael mwenye umri wa miaka (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja kata ya Nyankumbu halmashauri ya mji wa Geita amefariki dunia kwa kile kilichoelezwa…

December 9, 2022, 3:00 pm

makete yapiga hatua kila sesta miaka 61 ya uhuru 2022

Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amesema maadhimisho  ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanganyika ni msingi wa uhuru uliopatikana mara baada ya kutoka kwenye machungu makubwa ya utawala wa wakoloni ambao Taifa lilipitia. Ameyasema hayo leo akiwa…

3 December 2022, 12:47 pm

Wananchi washauriwa kuunga mkono bishaa za wajasiliamali wa ndani

Wananchi kisiwani pemba wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wanawake ili kuunga mkono juhudi za kujikwamua na umasikini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Habiba Khamis Mohd mjasiriamali na muuzaji wa unga wa lishe wa Hopeca amesema imefika wakati sasa…

December 2, 2022, 8:46 pm

Waziri wa Viwanda anena kuhusu uwekezaji wa Malengo

Dar es Salaam, Novemba 30, 2022: Jukwaa la kwanza kuwahi kutokea Tanzania la Uwekezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) limefanyika leo Jijini Dar es Salaam na limeratibiwa na UNDP na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa ushirikiano na Serikali…

22 November 2022, 4:35 pm

Mguso kwa Watumishi wapya Pangani.

Watumishi wa kada mbalimbali za Halmashauri ya wilaya ya Pangani waloshiriki kwenye mafunzo ya Siku tatu ya uongozi wa mguso yanayotolewa na Shirika la UZIKWASA wamelishukuru shirika hilo na kuahidi kuyafanyia kazi ili kuongeza ufanisi katika utoaji huduma pamoja na…

21 November 2022, 3:35 pm

Mwanafunzi afariki kwa kuangukiwa na kabati Kilwa

Mwanafunzi wa Darasa la kwanza aliejulikana kwa jina la Adam Kaisi Jika (9) katika shule ya msingi Singino, wilayani kilwa mkoani Lindi, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na kabati la kuhifadhia vitabu na madaftari wakati akicheza na wenzake shuleni hapo.…

17 November 2022, 3:56 pm

DC Ruangwa atoa siku mbili wafugaji kuondoka maeneo yasiyo rasmi

Mkuu wa wilaya ya ruangwa Hassan Ngoma amewaasa madiwani kusaidiana katika operation inayoendelea ya kuwafukuza wafugaji wanaoshi katika maeneo ambayo siyo rasmi wilayani Ruangwa “Oparesheni inaendelea mfugaji ambae Hana baraka za kijiji au ODC anatakiwa kuondoka wilaya ina eneo moja…