Radio Tadio

Habari za Jumla

19 September 2023, 10:44 pm

Mgogoro wakulima na wafugaji waitesa Chikobe

Changamoto ya wakulima na wafugaji bado imeendelea kusumbua katika baadhi ya maeneo mkoani Geita. Na Said Sindo- Geita Wakulima wa kijiji cha Chikobe kata ya Nyachiluluma, wilayani na mkoani Geita wamesema wapo hatarini kukumbwa na njaa baada ya mashamba yao…

September 19, 2023, 9:21 pm

Wananchi Makete waishukuru serikali kutoa pembejeo kwa wakati

Kuelekea msimu wa kupanda mazao wananchi wameendelea kujitokeza katika vituo vya pembejeo kwa ajili ya kuchukua mbolea, ikiwa ni siku chache baada ya serikali kutangaza wakulima kuhakiki taarifa zao. Na Aldo Sanga. Wananchi wamejitokeza kwa wingi kwenye vituo vya pembejeo…

12 September 2023, 11:55

Sekta ya Maendeleo Mufindi yapewa kongole

Lengo letu ni kusaidia sekta zote kama tulivyoanza na sekta ya Afya na shughuli mbalimbali za maendeleo Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mufindi Festo Mgina akipokea Cheti cha Pongezi kutoka kwa mkuu wa taasisi ya Vijana ( Youth Agency…

11 September 2023, 12:51

Wazazi wilayani Kyela wahimizwa kuwapeleka watoto kliniki

Katika jitihada za kuhakikisha watoto wanakuwa na afya bora, katibu wa watoa huduma za afya kwa watoto wilaya ya Kyela Bakari Samson amewaasa wazazi na walezi kuhakikisha watoto wanapelekwa kliniki Na Secilia Nkili Imeelezwa kuwa kutompeleka mtoto mwenye umri chini…

8 September 2023, 12:56 pm

Kamati za kupinga ukatili Zanzibar zatoa neno kupunguza talaka

Visiwani Zanziabar kumekuwa na engezeko la talaka kila siku hali hiyo ndio imepelekea  kamati maalum ya kupinga  vitendo vya udhalilishaji  Zanzibar kutoa ushauri kwa serikali kwa kutoa elimu hiyo skuli na madrsa. Na Mwandishi wetu. Kamati za kupinga vitendo vya…

27 August 2023, 3:21 pm

Kijana ajinyonga Pemba

Na Is-haka Mohammed Mtu mmoja anayejulikana kwa jina Moh’d Omar Juma maarufu Magodoro   anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 mkaazi wa Machomanne Kilimo amefariki dunia baada ya kuonekana akining’inia katika chumba kwa kujinyonga. Khamis Issa Moh`d ni Mwanafamilia  wa…

18 August 2023, 10:05 am

Takukuru  Simiyu  yaokoa  milioni 500 za  mfanyabiashara

TAKUKURU mkoa wa Simiyu imeokoa mamilioni ya fedha za mfanyabiashara ambaye mali zake zingepigwa mnada kwa bei ya kutupwa. Na Nicholaus Machunda Taasisi  ya  Kuzuia  na  Kupambana  na  Rushwa nchini TAKUKURU mkoa  wa  Simiyu  imefanikiwa  kudhibiti  upotevu  wa  zaidi ya  Shilingi …

16 August 2023, 12:10 pm

Kipindi: Mwangaza wa habari

Na Ivan Mapunda. Mkuu wa Usalama Barabarani mkoa wa kaskazini Unguja amewataka madereva kufuata sheria za usalama barabarani ili kuepukana na ajali.