Radio Tadio

Habari za Jumla

13 October 2021, 8:56 am

Wivu wawanyima uhuru watumishi

RUNGWE-MBEYA Wivu wa maendeleo imetajwa kuwa moja kati ya sababu zinazopelekea waajiri wengi wa wafanyakazi wa majumbani kutowaruhusu wafanyakazi wao kuendesha miradi yao. Wakizungumza na waandishi wetu baadhi ya wananchi wilayani hapa wamesema kwamba baadhi ya waajiri wanaogopa kuzidiwa kipato…

October 1, 2021, 11:26 am

Mbunge aendelea kuchangia ujenzi wa shule za sekondari

Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini mkoani Shinyanga, Jumanne Kishimba amechangia millioni moja laki mbili na elfu hamsini kwa ajili ya ununuzi vifaa vya ujenzi wa shule ya sekondari ya Kata ya Kagongwa. Akizungumza katika ziara yake aliyoifanya ya kutembelea…

29 September 2021, 10:22 am

Auawa kwa kisu kisa 1000 ya kamali

Ni Jumanne Jackson miaka 21 mkazi wa mtaa wa kabusule Kata ya Nyamakokoto Halmashauri ya Mji wa Bunda amechomwa kisu nakupoteza Maisha katika ugomvi wa kamali Tukio hilo limetokea September 28, 2021 majira ya jioni ambapo kwa kujibu wa mashuhuda…

September 28, 2021, 8:36 pm

Wanaume chanzo cha ukatili wa kijinsia

Imeelezwa baadhi ya wanaume ndio chanzo kikubwa cha ukatili wa kijinsia katika jamii kutokana na kutokua tayari kupokea mabadiliko ya kupinga vitendo vya ukatili wilayani Kahama Mkoani Shinyanga. Kauli hiyo imetolewa na Mratibu mradi wa MWANAMKE AMKA Joyce Michael wakati…