Elimu
8 January 2024, 17:15
Ndejembi aagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu wahusika wa mradi Kigoma
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Deogratius Ndejembi amemuagiza Afisa Elimu Sekondari Mkoa wa Kigoma na Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kutoa maelezo ya maandishi kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Adolf Nduguru ya kwanini walitoa taarifa ya kukamilika kwa ujenzi…
8 January 2024, 2:22 pm
RC Dendego aagiza wanafunzi wapokelewe bila kikwazo
Na Joyce BugandaMkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego amewaagiza Walimu na Wakuu wa Shule wote Mkoani humo kuwapokea bila vikwazo wanafunzi wote wanaojiunga na kidato cha kwanza na wale wanaoanza elimu ya msingi. Ameyasema hayo leo wakati wa…
8 January 2024, 8:51 am
Mbunge Maboto atoa vifaa vya milion 28 kwa wanafunzi Bunda mjini
Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto amekabidhi vifaa vya shule vyenye thamani ya shilingi mil 28 kwa wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu wanaotarajia kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo…
5 January 2024, 11:23 pm
Wanafunzi wasiokuwa na sare kuendelea na masomo
Zikiwa zimebaki siku chache shule za msingi na sekondari kufunguliwa hapa nchini mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu atoa wito kwa wakuu wa shule. Na Elizabeth Mafie Wito umetolewa kwa wakuu wa shule za msingi na sekondari katika mkoa…
4 January 2024, 15:02
Wazazi kuchukuliwa hatua kwa kushindwa kumpeleka mtoto shule Kasulu
Wazazi na walezi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwapelekea watoto wao shule ili waweze kupata elimu itakayo wasaidia katika maisha yao ya kila siku. Akizungumza na vyombo vya habari mjini Kasulu Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wilayani Kasulu Selemani Malumbo…
4 January 2024, 14:07
Shule mpya wilayani Chunya kuwakomboa wanafunzi
Tayari tumekwisha Jenga vyumba 8 vya madarasa, ofisi za walimu mbili, jengo la utawala, maktaba, jengo la kompyuta na maabara tatu ya kemia, fizikia na biolojia Na Samwel Mpogole Shule mpya ya Sekondari ya Kata Kambikatoto wilaya ya Chunya Jimbo…
2 January 2024, 17:20
CUCoM sasa ni chuo kikuu
Mwandishi wa Habari Highlands fm Radio Tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) imekipa hadhi ya kuwa chuo Kikuu, Chuo cha kanisa Katoliki (Cucom), Kwa sasa kitatambuliwa kama Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUCoM). Awali chuo hicho kilikuwa kishiriki na chuo cha…
29 December 2023, 10:32 am
Wadau wa maendeleo wasaidia ujenzi wa madarasa Rungwe
ikiwa shule zinatarajiwa kufunguliwa wadau wa maendeleo nchini wameomba kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha miundombinu ya shule Mkurungenzi wa Mwaiteleke foundation [kulia]akizungumza baada ya kukabidhi vifaa vya ujenzi[picha na Lennox mwamakula] RUNGWE-MBEYA Na Lennox mwamakula Ili kukamilisha ujenzi wa…
27 December 2023, 5:48 pm
Wazazi watakiwa kuzingatia malezi ya watoto
kwa upande wake afisa elimu mkoa ameahidi kuyafanyia kazi yale yote waliyojadili katika kikao hicho. Na Aisha Alim.Wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha watoto wao wanakuwa katika maadili mema kwa kuwaepusha na mambo ambayo hayawezi kuwajenga vyema katika makuzi yao. Hayo…
23 December 2023, 4:35 pm
Wadau wa elimu wazungumzia mgawanyiko wa adhabu shuleni
Ni ufunguzi wa mradi wa kuondoa ukatili dhidi ya watoto walioko shuleni ambao unaratibiwa na mtandao wa Elimu TEMNET . Na seleman Kodima. Wadau wa Elimu wamesema kuwa ipo haja ya uwepo wa mgawanyiko wa adhabu kulingana na makosa yanayotendwa…