Elimu
27 Oktoba 2023, 6:14 um
Kamati za mitihani Zanzibar zatakiwa kuzingatia maadili
Kufuatia kufanyika mitihani ya taifa ya hivi karibuni Zanzibar, kamati maalum za usimamizi zimetakiwa kuwa waaminifu kwenye usimamizi wao na kuhakikisha wanafanya kazi inavyotakiwa kwa kufuatia miongozo yao. Na Amina Masoud. Kamati za za mitihani za mikoa na wilaya zimetakiwa…
26 Oktoba 2023, 16:06
RPC Mbeya awataka wanafunzi kuacha uharifu
Katika kupambana na ugarifu elimu inapaswa kuanzia chini ya ngazi ya familia hasa kwa watoto ,mkoa wa mbeya kupitia jeshi la polisi limekuwa na utaratibu wa kutoa elimu kupitia shule mbalimbali ili kukabiliana na matukio ya kiharifu ikiwemo ukatili wa…
26 Oktoba 2023, 13:40
Zaidi ya wanafunzi wa kike 130 wapatiwa taulo za kike Yalawe sekondari Mbeya Dc
Mtoto wa kike amekuwa akipitia madhira kadhaa ambazo zimekuwa zikimfanya kukosa masomo,wengine kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo wazazi wao wamekuwa wakiacha shule na kujikuta wakishindwa kutimiza ndoto zao,hali hiyo imekuwa ikichochea uwepo wa ndoa za utotoni. Na Hobokela Lwinga…
25 Oktoba 2023, 13:54
Miundombinu mibovu, uhaba wa vifaa vyaitesa shule ya msingi Rutale
Na, Lucas Hoha Licha ya wadau wa maendeleo na serikali kufanya jitihada za kupunguza uhaba wa miundombinu ya madawati na matundu ya vyoo katika shule ya msingi Rutale iliyopo kata ya Kipampa manispaa ya Kigoma Ujiji, bado shule hiyo inakabiliwa…
25 Oktoba 2023, 12:18 um
Wazazi shirikianeni katika malezi ya watoto wenu wapate elimu bora
Kila mmoja akisimama katika nafasi yake itapunguza wanafunzi kuzurura mitaani na kuacha utoro. Na Saa Zumo. Wazazi na walezi wameshauriwa kuwa na ushirikiano katika malezi na makuzi ya watoto ili kuwawezesha kusoma kwa bidii na kufikia malengo yao. Hayo yamejiri…
24 Oktoba 2023, 16:47
Sekondari ya Shisyete yakabiliwa na uhaba wa walimu, vifaa
Wakati mapambano ya kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na mazingira mazuri hali hiyo si nzuri katika shule ya sekondari Shisyete iliyoko Mbeya Dc nakilio hicho kikitolewa na wanafunzi wa shule. Na josea sinkala Shule ya sekondari Shisyete kata ya Shizuvi wilayani Mbeya…
24 Oktoba 2023, 2:48 um
UWT yawataka wazazi kutoa malezi bora kwa watoto wenye mahitaji maalumu
Shule ya Msingi Sengerema kitengo maalumu ilianzishwa Rasmi mwaka 2003 ambapo mpaka sasa inauwezo wa kuhudumia watoto wenye mahitaji maalumu Zaidi ya 247, na bweni inaweza hudumia watoto 104 , Wazazi wanapaswa kuwapa nafasi watoto hao ya kupata haki yao…
24 Oktoba 2023, 4:08 mu
Dawati Katavi kusimama na wanafunzi
Dawati la jinsia na watoto Katavi laahidi Kuwalinda wanafunzi ili waweze kutimiza Ndoto Zao. KataviKitengo cha Dawati la jinsia na watoto Mkoani Katavi Kimewahakikishia Kuwalinda wanafunzi Dhidi ya mienendo Mibovu ili waweze kutimiza Ndoto Zao. Akizungumza na wanafunzi wa shule…
23 Oktoba 2023, 12:11 um
Ukimwozesha binti kabla ya matokeo ya kidato cha nne kukiona cha moto
Kumekuwa na tabia kwa baadhi ya wazazi kuwaozesha watoto wao baada tu ya kuhitimu masomo yao ya Sekondari bila kujari matokeo yatakuwa je, na wengine kuwapeleka mjini kufanya kazi za ndani jambo linalozorotesha ndoto za kielimu kwa mtoto wa kike.…
21 Oktoba 2023, 6:47 um
Wanahabari watakiwa kuripoti vitendo vya ukatili dhidi ya watoto
Wito umetolewa kwa waandishi habari kuripoti taarifa dhidi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na wanawake katika jamii. Na Fadhil Mramba Wito umetolewa kwa waandishi habari kuripoti taarifa dhidi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na wanawake katika…