Elimu
31 October 2023, 12:55 pm
UWaWa kutatua changamoto ya utoro wilayani Pangani, Tanga.
Na Cosmas Clement. Makala haya yanaelezea jinsi hali ya utoro ilivyopungua kwa shule za msingi wilaya ya Pangani kwa kipindi cha kuanzia June 2022 hadi June 2023 kutoka asilimia 15 kufikia asilimia 2. katika makala haya utasikia jinsi ushirikiano wa…
30 October 2023, 9:02 pm
Wazazi walalamikiwa kushindwa kulipa Ada za watoto wao
Shule ya Sekondari Ntunduru imekuwa ikifanya vizuri tangu kuanzishwa kwake mwaka 2004, ambapo kwa mwaka huu 2023 jumla ya wahitimu 70 wanatarajia kufanya mtihani wa kidato cha nne wakiwa wasichana 37 na wavulana 33. Na:Joyce Rollingstone. Shule ya sekondari ntunduru…
30 October 2023, 17:35
Songwe madereva wapigwa stop ulevi
Miongoni mwa sababu kubwa ya ajali za barabarani ni kwa baadhi ya madereva kutumia vilevi kupindukia wanapokuwa barabarani wakiendesha vyombo vya vya moto,baada ya kuini hili kumekuwepo na ukaguzi uanao fanywa na jeshi la polisi kwenye vituo vya kuazia safari…
30 October 2023, 5:19 pm
Rc Simiyu aonya Wanaume wanaonyemelea Wanafunzi wa Kike na kukat…
Na Nicholaus Machunda Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt Yahaya Nawanda amewaonya Wanaume wote wanaotongoza Wanafunzi na kuwapatia Ujauzito unaopelekea kukatisha ndoto zao za Masomo. RC Nawanda amesema hayo katika Ziara yake Wilayani Maswa ya kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo …
30 October 2023, 12:20 pm
Umbali mrefu chanzo wanafunzi kukatisha masomo Mbandee
Kupitia mradi wa BOOST umeendelea kuimarisha elimu msingi kwani takribani shilingi trilioni moja zimejenga madarasa ya shule za msingi 9,705 na kukarabati shule za msingi kongwe kwa mwaka wa fedha 2022/23. Na Mindi Joseph. Umbali mrefu wanaotembea wanafunzi wa kitongoji…
27 October 2023, 9:14 pm
Bashungwa: Serikali inaendelea kuboresha maslahi ya walimu
Na Jovinus Ezekiel Waziri wa ujenzi na mbunge wa jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa amewahakikishia walimu wa wilaya ya Karagwe kuwafikishia changamoto zinazowakabili ikewemo madeni ya walimu na kikokotoo cha malipo ya msitaafu kutokuwa rafiki kwa serikali ili ziweze kupatiwa…
27 October 2023, 6:14 pm
Kamati za mitihani Zanzibar zatakiwa kuzingatia maadili
Kufuatia kufanyika mitihani ya taifa ya hivi karibuni Zanzibar, kamati maalum za usimamizi zimetakiwa kuwa waaminifu kwenye usimamizi wao na kuhakikisha wanafanya kazi inavyotakiwa kwa kufuatia miongozo yao. Na Amina Masoud. Kamati za za mitihani za mikoa na wilaya zimetakiwa…
26 October 2023, 16:06
RPC Mbeya awataka wanafunzi kuacha uharifu
Katika kupambana na ugarifu elimu inapaswa kuanzia chini ya ngazi ya familia hasa kwa watoto ,mkoa wa mbeya kupitia jeshi la polisi limekuwa na utaratibu wa kutoa elimu kupitia shule mbalimbali ili kukabiliana na matukio ya kiharifu ikiwemo ukatili wa…
26 October 2023, 13:40
Zaidi ya wanafunzi wa kike 130 wapatiwa taulo za kike Yalawe sekondari Mbeya Dc
Mtoto wa kike amekuwa akipitia madhira kadhaa ambazo zimekuwa zikimfanya kukosa masomo,wengine kutokana na ugumu wa maisha waliyonayo wazazi wao wamekuwa wakiacha shule na kujikuta wakishindwa kutimiza ndoto zao,hali hiyo imekuwa ikichochea uwepo wa ndoa za utotoni. Na Hobokela Lwinga…
25 October 2023, 13:54
Miundombinu mibovu, uhaba wa vifaa vyaitesa shule ya msingi Rutale
Na, Lucas Hoha Licha ya wadau wa maendeleo na serikali kufanya jitihada za kupunguza uhaba wa miundombinu ya madawati na matundu ya vyoo katika shule ya msingi Rutale iliyopo kata ya Kipampa manispaa ya Kigoma Ujiji, bado shule hiyo inakabiliwa…