Radio Tadio

Elimu

30 October 2023, 9:02 pm

Wazazi walalamikiwa kushindwa kulipa Ada za watoto wao

Shule ya Sekondari Ntunduru imekuwa ikifanya vizuri tangu kuanzishwa kwake mwaka 2004, ambapo kwa mwaka huu 2023 jumla ya wahitimu 70 wanatarajia kufanya mtihani wa kidato cha nne wakiwa wasichana 37 na wavulana 33. Na:Joyce Rollingstone. Shule ya sekondari ntunduru…

30 October 2023, 17:35

Songwe madereva wapigwa stop ulevi

Miongoni mwa sababu kubwa ya ajali za barabarani ni kwa baadhi ya madereva kutumia vilevi kupindukia wanapokuwa barabarani wakiendesha vyombo vya vya moto,baada ya kuini hili kumekuwepo na ukaguzi uanao fanywa na jeshi la polisi kwenye vituo vya kuazia safari…

30 October 2023, 5:19 pm

Rc  Simiyu  aonya  Wanaume  wanaonyemelea  Wanafunzi  wa  Kike  na kukat…

Na Nicholaus Machunda Mkuu  wa  Mkoa  wa  Simiyu  Dkt  Yahaya  Nawanda  amewaonya  Wanaume  wote  wanaotongoza Wanafunzi  na  kuwapatia  Ujauzito   unaopelekea  kukatisha ndoto  zao  za  Masomo. RC   Nawanda  amesema   hayo  katika  Ziara  yake  Wilayani  Maswa  ya  kukagua    Miradi mbalimbali   ya  Maendeleo …

30 October 2023, 12:20 pm

Umbali mrefu chanzo wanafunzi kukatisha masomo Mbandee

Kupitia mradi wa BOOST umeendelea kuimarisha elimu msingi kwani takribani shilingi trilioni moja zimejenga madarasa ya shule za msingi 9,705 na kukarabati shule za msingi kongwe kwa mwaka wa fedha 2022/23. Na Mindi Joseph. Umbali mrefu wanaotembea wanafunzi wa kitongoji…

27 October 2023, 9:14 pm

Bashungwa: Serikali inaendelea kuboresha maslahi ya walimu

Na Jovinus Ezekiel Waziri wa ujenzi na mbunge wa jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa amewahakikishia walimu wa wilaya ya  Karagwe kuwafikishia changamoto zinazowakabili ikewemo madeni ya walimu na kikokotoo cha malipo ya  msitaafu kutokuwa rafiki kwa serikali ili ziweze kupatiwa…

27 October 2023, 6:14 pm

Kamati za mitihani Zanzibar zatakiwa kuzingatia maadili

Kufuatia kufanyika mitihani ya taifa ya  hivi karibuni  Zanzibar,  kamati maalum za usimamizi zimetakiwa kuwa waaminifu kwenye usimamizi wao na kuhakikisha  wanafanya kazi inavyotakiwa kwa kufuatia miongozo yao. Na Amina  Masoud. Kamati za za mitihani za mikoa na wilaya zimetakiwa…

26 October 2023, 16:06

RPC Mbeya awataka wanafunzi kuacha uharifu

Katika kupambana na ugarifu elimu inapaswa kuanzia chini ya ngazi ya familia hasa kwa watoto ,mkoa wa mbeya kupitia jeshi la polisi limekuwa na utaratibu wa kutoa elimu kupitia shule mbalimbali ili kukabiliana na matukio ya kiharifu ikiwemo ukatili wa…